@cleansheet_1 Inawezekana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, bingwa dhaifu kafunga magoli mengi angekuwa dhaifu hayo magoli angefungaje, hizo point nyingine kuliko wengine angepataje. Top scorer co kigezo cha timu kuwa bora kwahiyo unataka kusema singida ni bora kuliko simba. Think big