Huyu Bwana Kombo anazidi kuthibitisha kwamba waliua watu bila sababu ya msingiโฆ Chande alisema kulikua na training na silaha , kombo anasema mawe!!! anasema ukimlembea jiwe polisi, anatakiwa kukupiga risasi..
Je Bwana Kombo yule mama Mtanganyika pale Arusha, Video yake Inaonekana anakimbia , akapigwa risasi mgongoni, alilemba jiwe kwa nani?
Watu wameuwawa wakiwa nje ya Mageti ya nyumba zao, wengine kwenye sebule , kuna vijana Mwanza mmeaua wakiwa wanaangali Mpiraโฆ
Unasema tumeheal!!!! Hamtaweza kufukia mauaji ya kutisha mliyofanya ili mjitangaze kwenye uchaguzi ambao haukuwepoโฆ wote mnakula pesa za damu na dunia haitakaa kimya.
@MsigwaPeter@kisuda_adam Ungepewa uobgozi ccm wale usingerudi chadema, wewe kama mbowe tu mnapenda madaraka. Ila karibu maana chama cha siasa ni watu na hawakataliwi
@BurnleyOfficial@Brianmbunde Can you please take any poits either 1 or 3 , we are going to support you all iver the world Come on Burnley ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Pumzika kwa amani Fr Peter. Pamoja na upole na ustaarabu wako, bado ulitekwa, ukateswa na kupewa maumivu moyoni mpaka kupelekea kifo chako! Rest in peace brother ๐๐ฝ๐ญ