@swahilitimes Yani leo katibu wa mkoa hajui kuwa mamlaka yake ya nidhamu ni Kanda mwambieeni akaangalie barua yake ya uthibitisho wa ukatibu weke imesainiwa na nani kama sio katibu wa kanda pumbavuu mmoja
@KenyanSays Sample ya Miili ya ndugu zetu iko wap hakuna mali yenye thamani ya uhai wa mtu
Tuambieni kwanza nani alitoa oder ya shoot to kill baada ya hapo Watanzania tujipanga kupata hizi mali zauma maana bado tunalipa kodi
"Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. katika homilia aliyoitoa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya Kuombea Waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, Misa iliyoadhimishwa Jumatatu Novemba 10,2025 katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Unaua Watanzania wenzako, ambao hawakuwa na silaha yoyote ile ispokuwa silaha yao ni Bendera ya Tanzania, kisa ni madaraka.
Mbaya zaidi unasema siyo Watanzania, bali walikuwa waandamanaji kutoka nje. Like seriously?
If today a former ambassador, a diplomat can be abducted by the State then we have a FAILED STATE!
Polepole is well known in cirlcles of power and internationally as a sober diplomat! He has committed no crime - all he did was criticize @SuluhuSamia
Her response has been #EnforcedDisappearance
Tell Samia Suluhu to #FreeHumphreyPolepole immediately!