Funny enough nyinyi mutuals wangu sijawatoa kwa spaces, ni wale tunapatana huku kwa cs na kwa tweets pekee. Nataka new mutuals tuendelee kuwa waguzi wengi.If you happen to see this post guza bana, I guza back
High school had real bullies, kuna bois tulikuwa tunamuita Sunken eyes
Mwingine kilo kumi juu ako na mguu moja nono, classchief alikuwa anaitwa maskio๐