Kuna ule msee wa ploti anakuanga na kazi moja tu ya kukumbusha watu rent iko due. Hata kama ni tarehe 1, anakugongea mlango asubuhi. Unamwambia mwezi imeanza leo tu😂 Anakwambia ndio maana nimekuja mapema ndio nisisahau😂😂
My mjengo mates wamekuwa wakinipush nioe kila saa and jana I reached boiling point
Nkawauliza kama bibi zao wa 80s huwekewa fake nails za ksh 2000 na kama hao wamama wameoa hupelekwa KFC na Hata hawakujua hizo ni nini
Infact hawakutaja hio story tena wanadhani mtu wa mkono..
Let my grave be unmarked, so no one knows where I rest. Only the earth will know, that beneath it lies a man who loved a woman beyond the permission of death.
Msupa wangu wa 46 years anaona niko betika, ananiuliza nafanya nini, nmemshow ni app ya kusoma, premium subscription ni 3500 akanitumia 5k😂😂 nawaombea pia guys