Kuna jirani yangu flani dem yake humpigia hii masaa na huwa wanashinda wamepigiana makelele, pia mimi hutaka manzi kama huyo ubaya sasa dem akinishoutia namtusi alafu nakata hiyo simu
Nimepigia one of my high school old friends I haven't heard from him in like 5 years kumjulia hali akadai "ata ni mungu amekutuma" nikajua hapo nimejipeana.