@ALBERT39797900@PKishamba kutokutumia nafasi ndo ubovu wenyewe... huwezi ukawa bora kwa kutotumia nafasi unazotengeneza.
Kingine, huwezi kuwa bora umepoteza mchezo.
@privaldinho Humu ndani hata kuhoji zile 97.6% huwezi. Ila unajikuta unahoji ya Gaza kisa S.A. Ulichowin hapa ni engagement tu ila hakuna ujinga uliouonesha ni wa kiwango cha ujinga sana. Sasa Israelist ndo kitu gani?
@MrCalvinchuwa@IAMartin_ Kwamba akipiga yeye ndo unaona spana imepigwa. Huu wa sasa hauna mwenye nao focus ni moja na wananchi ndo wamepewa hilo jukumu. Hapa kila mmoja atimize wajibu wake. Na humu spana huwa hazina mwenyewe
@MrCalvinchuwa@IAMartin_ Wajibu wa spana kupewa mtu mmoja hii si sawa. Yaani hii ya kusubiri flan akipiga spana ndo wengine mnaridhika haikai sawa. Hapo ni kuruka naye hata wewe as long as # yake imekaa kiwaki.
Otherwise ni kufocus zaidi, na kuendelea kuongelea uwaki wa kikatuni ni kuwasaidia adui.
@SGahamanyi@realhefd You completely believe that some countries invade neighboring countries and kill innocent people, but you don't believe CNN's investigation that the police in your country killed innocent people who were even unarmed.