@cleansheet_1@cleansheet_1 Huo sioutafiti
Fatiliya hospitalini na ofisi za vizazi na vifo juu ya watoto wanaozaliwa wa kiume na wakike rate yake ikoje wanaokufa kati ya wanaume na wanawake utapata majibu
@abdulnondo2@LuhagaMpina@abdulnondo2 kk ulivokuwa udsm ulikuwa mwamba sana mm niko mwaka wa kwanza ww watatu
Nakumbuka sana harakati zako revolution Square ila now days umekua ukitetea maslahi ya chama chako na sinchi na wananchi