@AnnaTibaijuka Kwa kumbukumbu zangu lissu ni mwenyekiti wa chadema ? Analiponyaje taifa ? Au taifa ni chadema ? Au ni pamoja na chandema ? Ukiinza hizi nyingi za nani aachiewe nani afanyeweje .... ilibidi magereza zote zifungwe kila mtu arudi nyumbani na CPA ifutwe.
@Kipanga1986@_zack255 ... na mimi nilizaliwa na mungu ? Anyway kila mtu tunaweza sema alizaliwa na mungu. Na by the way kila mtu atakufa. Sasa watch "your saying"
@millardayo Wananchi wapige kura muigomee kisha kwa kutumia press unasema waliochaguliwa walishe serikali iongozwe na umoja wa mataifa. Anyway katiba hairuhusu hilo. Anayewashauri chadema anawaongoza vibaya.
@awamisammy Sammy. Nchi sio mara zote ni public. Lets focus on what is public in all scenarios. Kww kesi ya juzi. Watu waliopanga na kutekeleza mapinduzi yakaleta mauwaji and you dare to call them public. Wananchi wamekuwa misinformed kuhusu msimamo wa jeshi na media / social media.
@Advocate_Jebra Kama rais hana mamlaka ya kuongilia maamuzi ya dpp. Je wanaoomba waliokamatwa waachiwe wanatumia mamlaka gani kufanya hivyo ? Au wanataka hizo kesi zifutwe kwa msingi upi ?
@Udadisi Mnafanya asumption kwamba wauwaji walktumia bunduki pekee na kwamba bunduki hizo zilikuwa mikononi mwa serikali. Zikiletwa facts tofauti mnabeza.