Nani wa kulaumiwa kwenye hizi furugu na vifo vya alaiki vilivyotokea nchini kwenye huu uchafuzi 2025 #Tanzania, hawa wana sifa zote za kushitakiwa ndani na nje ya nchi mahakama ya ualifu "The Hague" international criminal court.
1. Jakaya M. Kikwete, rais mstaafu,
‼️🚨ALERT TUNDU LISSU MAY BE IN DANGER‼️
Activist @Rachel17D has alerted us that Abdul Ameir’s henchman Sumai (who tried to abduct and kill Lissu’s aide @daviddjumbe ) has been allegedly assigned to deliver posion to Ukonga prison to kill Tundu Lissu
This is not the first time we have been alerted about possible posioning of Tundu Lissu but this is a very concrete alert!
Be informed about possible plot and note that Lissu has no heart disease or infirmity! Anything happens to him, Samia Suluhu is responsible!
@Europarl_EN@SFRCdems@SenateForeign@IMFAfrica@WorldBankAfrica
#FreeTunduLissu
Tundu Lissu haumwi moyo wala nini! Msitutanie @MagerezaT huyo Sumai au vikaragosi vya Abdul na mama yake wasimfikie Lissu! Kuweni makini msije mkaleta taharuki!
Na nyie @judiciarytz do the right thing and #FreeTunduLissu
🚨‼️ZIARA YA URUSI YAZUA HOFU‼️
Narudia tena kwa sasa taharuki iko juu kwani wengi wanadai hata ndani ya mfumo kuwa sababu ya ziara ni kutafuta sumu au mbinu za kmwua Lissu na sasa kazongezwa na Nchimbi hapo!
Haya madai hatuwezi kupuuza maana mmeua maelfu ya watanganyika na wapo waliopuuza tulipowaonya kuhusu mipango hii ya kutuua!
These people are capable of ANYTHING!
Sisi tunachotaka kwa sasa Lissu aachiwe MARA MOJA akiwa mzima wa afya!
@judiciarytz mna wajibu to act fast - dismiss this case ASAP!
@MagerezaT mna wajibu kuhakikisha afya ya Lissu inalindwa
Kama huyu Alfred kweli kakubali huu ujinga ajue what goes around comes around!
Nchi imekuwa futuhi kabisa 🚮
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo
Wakati Putin anamtoa Mic yeye anakimbilia kumshika kiuno
Muda wote anawaza vitu vya ajabu ajabu tu hata mbele za watu
Sasa sijui alifikiria anataka pigwa busu!!?
Dar es Salaam, countdown imeanza: Zimebaki siku 5! 👊🏽 Tuhakikishe tunaweka historia ya kujaza mahakama hadi nje kwa ajili ya Tundu Lissu. Huu ni mshikamano wa dhati, hakuna wa kutuzuia mbele ya safari! 🔥 #FreeTunduLissu
BREAKING: VIDEO MPYA. NEW VIDEO EVIDENCE OF THE VIOLENCE THAT TANZANIANS ENDURED DURING THE INTERNET BLACKOUT UNDER SAMIA SULUHU ORDERS.
WATANZANIA AMBAO MLIKUWA MNAOGOPA KUACHIA VIDEO, PLEASE NITUMIENI ILI DUNIA IONE ILI TUPATE MSAADE WA NJE!!!!! WhatsApp +1 424 537 3057
‼️HUYU NDO FADHILI SAGA, MMOJA WA WAUAJI WA OKTOBA 29‼️
Huyu kwenye picha anaitwa Fadhili Saga alikuwa Mkuu wa Operation wa TISS.
Wakati tuko busy tunajiandaa na Maandamano ya Oktoba 29, 2025 na yeye alikuwa busy kuandaa kikosi cha TISS ambacho kilipewa jukumu la kuuwa waandamanaji , hiki kikosi chake ni njee ya vile ambavyo vilikuwa vinaratibiwa na Jeshi la Polisi chini ya IGP Wambura pamoja na Kamishna wa Operation wa Jeshi la Polisi Awadhi Haji ( Kuhusu ushiriki wa Awadhi kwenye maujaji ya Oktoba, tutajadiliana siku nyingine)
Turudi kwenye issue ya leo,
Ni hivi kikosi ambacho alikuwa anakiongoza Fadhili Saga kilikuwa na Makomandoo wa TISS + KMKM na wengine walitolea kwenye Task Force ya Mafwele ambayo iliundwa kwa ajili ya kudeal na Majambazi Sugu ila badae ikaongozewa majukumu ya kuteka, kuuwa na kupoteza Wanaharakati & Watu wanaokosoa Serikali haram. hiyo task force Makao yake yapo nyuma ya kituo cha Polisi Chang’ombe Dar es Salaam na pale wanakarakana yao ya kutesea watu yani mtu akitekwa kabla haujauwawa/kupotezwa lazima apelekwe pale, wenyewe wanapaita “THEATER” wakimaanisha Chumaba cha Upasuaji.🥹
Kama mnakumbuka Oktoba 29, 2025 baada ya Maandamano kushika kasi kila kona ya Dar wa salaam ndo vikosi vya Idd Amin Mama vikaanza kuingia barabarani na kuanza kupiga watu risasi hawakutaka hata kutumia mabomu ya machozi wala maji ya kuwasha kwasababu agizo lilikuwa ni kuuwa.
Sasa Fadhili Saga alichukua silaha, akawapa na vijana wake, kwenye kikosi ambacho alikuwa anakiongoza yeye then wakaingia barabarani, moja kati ya majukumu ambayo alijipa yeye ni kikosi chake ni kuhakikisha Waandamanaji hawavuki Magomeni, hawavuki Morocco, hawavuki Karume na Kurasini kote huko aliweka Vijana wake na lengo lake ilikuwa Waandamanaji wasiingie Karikoo wala Posta maana alijua wakifanikiwa tu kuingia hapo, Ikulu ya Magogoni itakuwa imeondoka, walikubaliana mtu yeyote akisogea hayo maeneo tajwa apigwe risasi.
Sasa kwenye route ya MAGOMENI ambayo ndo ilikuwa na Waandamanji wengi, Fadhili Saga akaingia mzigoni yeye mwenyewe, akiwa na hii gari mnayoiona hapa kwenye hii video, ambapo Fadhili Saga alikuwa na hawa Wauaji wengine mnaowaona kwenye video hii.
Hii siku Fadhili Saga na kikosi chake waliuwa watu wengi sana, walipiga risasi kila mtu ambae alikatiza mbele ya macho yao😭 walipoona hakuna mtu ambae anapita barabarani ndo wakaamua kuingia majumbani kwa watu, walipiga risasi hovyo hovyo kuna watu risasi ziliwafuata ndani kwao, zikaondoa uhai wao, Fadhili na kikosi chake walifanya operation ya kuuwa watu kwa siku tatu mfululizo bila huruma.
Fadhili Saga na kikosi chake waliuwa maelefu ya Watanganyika, huku akiamini kwamba baada ya Oktoba 29, Nduli Idd Amin Mama lazima angempandisha cheo na kumfanya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Imagine mtu alikuwa anamiminia watu risasi kama kichaa, alikuwa anamlinda Nduli Idd Amin Mama, asiondolewe madarakani na waandamaji ili mwisho wa siku ampandishe yeye cheo, yani hakuona njia yoyote ya kumsaidia kupanda cheo isipokuwa kumwaga damu za Watanganyika wenzetu kwamba cheo ambacho alikuwa anakitaka thamani yake aliona inalingana na uhai wa watu aliowauwa.
Sasa mara baada ya Nduli Idd Amin Mama kuapishwa pale kwenye Garage ya kambi ya Jeshi, akamuondoa kabisa Fadhili Saga kwenye nafasi ambayo alikuwa nayo awali, baada ya Fadhili kulalamika sana sasa hivi Nduli Idd Amin Mama ameamua kumpeleka Fadhili Saga Ubalozini huko kwenye moja ya nchi za Asia ambako anaenda kuwa afisa wa kawaida wa Ubalozi.
Kwasasa Fadhili Saga, anasoma Chuo cha Diplomasia pale kurasini ikiwa ni maandalizi ya kazi yake mpaka ambayo anatarajia kuianza mara baada ya kumaliza kozi yake fupi anayosoma so nyie ambao huwa mnaonana nae huko Kurasini kwenye iko chuo cha Diplomasia, jueni kwamba mnasoma na mtu hatari sana, mtu ambae ameuwa maelfu ya Watanganyika kwa mikono yake miwili.
Kwenye ile list ya watu ambao wanatakiwa kufikishwa ICC huyu hatakiwi kukosekana.
‼️🚨 Gaidi Faustine Jackson
Mafwele Ahukumiwa Marekani‼️
Gaidi Faustine Jackson Mafwele ameungana rasmi na gaidi Paul Christian
Makonda kwenye hukumu iliyotolewa na Serikali ya Marekani kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
Ifahamike kwamba, gaidi Mafwele amehudumu kama Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Polisi (SACP) na amejulikana kwa muda mrefu kama mtu
katili, jangili wa roho za Watanganyika na muuaji ambaye hakuna anayeweza kumgusa. Kwa kifupi Mafwele anaweza kuitwa Shetani wa Kifo.
Mafwele amewekewa vikwazo na Serikali ya Marekani kupitia Section 7031(c) vikwazo vinavyomzuia yeye na familia yake kuingia Marekani.
Haya yote yanajiri baada ya ushahidi kuthibitika kwamba aliwatesa na
kuwanyanyasa wanaharakati wa haki za binadamu wa ndani na nje ya Tanzania
Tunaipongeza Serikali ya Marekani na kutoa wito kwa raia wa Tanganyika
kuhakikisha wanawasilisha ushahidi wa madhila waliyopitia chini ya gaidi Mafwele.
Tunataka Mafwele awajibishwe zaidi kwa kushinikizwa awaachie mara
moja kwa wafungwa WOTE wa kisiasa na raia waliotekwa nyara na kufichwa kwenye mahabusu bubu na katika nyumba za mateso maeneo mbalimbali nchini.
Tunaitaka vyombo vya ulinzi hasa Jeshi la Wananchi (JWTZ) kufanya kazi yake ya ulinzi kwa kuhakikisha mateka hao wanaachiwa mara moja na kutaifisha nyumba hizo
GenZ wameendelea kufanya kazi iliyotukuka. Tunawapongeza na kuwaelekeza kuendelea kulinda UHURU wa Tanganyika ndani na nje ya mipaka yake.
#UshindiUnakuja
#MafweleNiGaidi
#SamiaMustGo
Kuweni makini sikilizeni pale mwanzo msigwa anashindwa kuitaja CCM kwamba ni chama kimachopendelewa na polisi badala yake amesema baadhi ya vyama vinapendelewa na polisi. Hii lugha inamaanisha bado anacheza formation ya CCM ndani ya Chadema. Huyu hapaswi kupanda jukwaani nanyi
Pamoja na kutokukubaliana maamuzi ya kuondoka kwako, pamoja na ukweli mwingine pia kwamba mimi ni mmoja wa watu walioumizwa sana na maamuzi uliyowahi kuyachukua.
Mimi pia ni mmoja wa wachache waliochagua kukuelewa.
Labda kwasababu wewe ukiwa darini unaungua mimi nilikuwa ndani ya viatu vyako.
Karibu nyumbani.
#Lettingthebygonesbebygones
. @potus , if America does not intervene Tanzania is going to be the next Zimbabwe or even Congo. Please don’t allow 1 person to destroy a beautiful country.
The first and second videos were taken on October 30, 2025—the second day of the protests.
The young men in those videos were not protesters. They were simply watching football in local cafés when police, acting under orders from Samia Suluhu stormed in and ordered the boys to lie face down on the ground. They complied.
Then, one by one, they were shot.
Their only “crime” was being young men in the wrong place at the wrong time. The purpose of these killings was terror. It was a calculated attempt to instill fear across the entire country and send a message that no one was safe.
The third and fourth videos were taken on the third day of the protests, as the violence and crackdown continued.
@SenTedCruz@SenatorShaheen@SecRubio@PeteHegseth
‼️🚨ALERT: GRAPHIC IMAGES‼️
Following the documentation of #TanzaniaMassacre online despite internet blackout and repression, Samia Suluhu now wants the same police that committed these atrocities to prevent l these videos from being posted online!
Too late!
We have it all and it is now with all international bodies and states! What you did was CRIMES AGAINST HUMANITY and you will be held accountable!
Huyu kimama mbona amechelewa sana! Hivi ndo “viclip” ? Hizi video ni USHAHIDI na ajiandae! Si walisema ni AI? Sasa wataenda kujieleza @IntlCrimCourt ni AI gani! Wacha waendelee kufikiri tunatania! Si walitupuuza tulipowaambia tunafanyia kazi vikwazo?? Kiko wapi? Na ICC iko njiani na soon mtajua hamjuu!
Huwezi kututawala huku umemwaga damu ya maelfu!
Huijui Tanganyika na hutujui watanganyika!
#SamiaMustGo
@usembassytz We have a female fascist dictator, fraudulently elected President Samia is the real incarnation of Adolf Hitler.
Evidence of massacre killings and a bloodbath by terrorist forces during the rigged October 29th election in #Tanzania@IntlCrimCourt@hrw@UN@StateDept@EUinTZ
@usembassytz Evidence of massacre killings and a bloodbath by terrorist forces during the rigged October 29th election in #Tanzania to keep in power a female fascist dictator, Fraudulently elected President Samia is the real incarnation of Adolf Hitler.
@IntlCrimCourt@StateDept@WhiteHouse