@Lummylummy0yiq@YoungAfricansSC Amekwambia vilabu vingi, hajasema vilabu vikubwa. Bado Singida ni klabu kubwa, Yanga ni klabu kubwa na Polisi Kenya nayo si ya kubeza, huko Zambia kacheza ligi kuu. Usimchukulie poa.
@fintanjr_ "In 2011, the child's father revealed that the child was actually a boy named Kong Nyong, and had been taken care of by the UN food aid station. According to his family, Nyong had died of "fevers" sometime in 2007"
Yanga imekuwa ikishambuliwa sana na mabumunda ambayo wamekuwa wakiyatumia. Huwezi kuona klabu ikijibu UPUUZI wa mitandaoni. Hiyo ni Kazi ya Waziri wa Vita na makachero wengine waklabu. Sasa leo, Kispika kaambiwa yeye Jasusi nae kapanic kaenda kujibu hadi kwenye ukurasa wa klabu. Nadhani yule Mkurugenzi mpya wa wanachama ambaye amejiuzulu kabla ya kuanza kazi alikuwa mtu sahihi kumtumia kama ambavyo mmekuwa mkifanya na sio kutumia page ya klabu. Hatuwezi kuwafundisha kila kitu
@MickealOdo25761@CliveKyazze@AllanOkello8 20/2 = 10, Number 10 belongs to Pacome who also got it after Aziz Ki left last season. Players choose their preffered numbers but should be considerate. Balloteli wanted number 9 but found it difficult and decided to use No 45 as he said 4 + 5 = 9. Remember one used 99 for 9.
@FKihamu Usihangaike mkuu, nenda @azamtvtz lipia LIVE Broadcasting itisha waandishi na wageni wengine. Wao
walimtangazia @Tanfootball Centre ya Tanga, wewe nenda ile ya Kigamboni then mtangaze huyo ndugu yako kuwa ndiye MVP, Simple. Tena wa kwako mtangaze mchana kweupeee.
@iddynonga_ Acha ujinga. Hajatupa kopo ila kaonyesha ishara ya kutupa kitu. Pale ni uwanjani nani alikataza kushangilia? Kinachozuiwa kwa wachezaji ni kwenda kuingia walipo washabiki. Acha upuuzi kabisa