Build up ya United.
- Mwalimu anataka 2-4/2-3 halafu baada ya muundo huu kuna majukumu mama ambayo Carrick anawapa wachezaji wake mfano Bruno ana jukumu la kuitoa timu chini kama viungo wamekosa option za kutoa pasi. ๐
Hii sanaa ya uzuiaji ya Bosnia mamae
(5-3-2)
โ mstari wa mbele una idadi ndogo lakini udhaifu huo unafichwa na jinsi wanavyokimbia kufanya pressing kwa mwenye mpira hii inawafanya Canada kua na idadi kubwa nyuma.
โ Wakirudi chini wanamfanya Miller na Buchanan kua mbali na box๐
Canada vs Bosnia
Dah game hakuna mtu ambae alikuwa na asilimia nzuri ya kuutawala mchezo.
Kiufupi tumeangalia game ya shambulia nikushambulie bila control ya mchezo. Mimi sio muumini wa soka la aina hii ila baridi tu ๐
Tuwatulie macho sana hawa jamaa kwenye kombe la Dunia msimu huu.
Vs Netherlands
Vs Tunisia
Vs Sweden
Nawaona wakisogea nafasi inayofuata na kama uliwafuatalia kwenye mechi vs England na Scotland basi tutakubaliana.
Timu yangu ya maajabu mimi ni Japan ๐ค
Soka ambalo wamecheza Korea lazima timu yako iwe fit kweli kweli.
Wanacheza kwa kasi, linapokuja suala la kumiliki bado wanauwezo wa kukaa na mpira na linapokuja suala la kulinda wanaweza.
Ila hawa jamaa kwenye set pieces kama Arsenal mae ikitengwa unahesabu ๐
Kuna Day hautokuwa macho... eeeh hauto amka ila asubuhi itafika na wengine wataamka.. hivyo furahia siku yenye uko nayo acha kuji compare na wengine.. ๐๐ซก
Good Morning Family. ๐๐
Kuna bidhaa ni ndogo ila zinalipa
Mfano wadada wengi wanapenda urembo
Face mask skin care bongo wanauza 2k-3k per piece
Ila china piece 50-62000 sawa na 1240 per piece
Faida ipo ya kutosha โค๏ธ
Karibu
VODACOM MAMBO NI MOTO!!
โก๏ธSpeed ya uhakika: 10mbps
โ ๏ธ Plug & play
๐ค Router ina-connect vifaa 32
๐ก Coverage: umbali mita 100
Bei ni poa: Router + bundle #Unlimited kwa kuanzia utalipia TSh 200,000/. Baada ya hapo utakuwa unalipia 70,000 tu.
WhatsApp or call 0743303484
South Korea ๐ฐ๐ท
Superb technical level. Everyone's comfortable
Combo play excellentโ finding that extra man
Close proximityโ allow counter pressing
All zones occupied.
Well coached team.