"Nimepata taarifa asubuhi hii kutoka kwenye team ya kampeni ya Magufuli kwamba wao hawatakuwa na mkutano wa kufunga kampeni ila wamepanga kuvuruga mkutano wangu wa ufungaji kampeni unaotarajiwa kufanyika jimbo la kawe jijini Dar es Salaam wa.." Mhe. @TunduALissu
Maelekezo ya kupiga kura ya Urais kwa Tundu Lissu @ChademaTz. Nachukua fursa hii kuhimiza Watanzania tujitokeze kwa wingi tarehe 28 Oktoba kupiga kura ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.
Retweet ๐ tusambaze ujumbe huu kote!
#ChaguaLissu#ChaguaCHADEMA#SasaBasi#Niyeye2020
Kuna uvurugwaji wa kutisha wa Daftari la wapiga kura. Mamilioni ya wapiga kura hewa & maelfu ya vituo bandia. Wapiga kura wengi wapinzani wamehamishwa vituo au kuondolewa kwa makusudi. NEC itoe maelezo & suluhisho haraka la sivyo uchaguzi huu utashindikana kuanzia hatua ya awali.
Thereโs massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of โchosenโ legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio.