@Captainbuii@cleansheet_1@YoungAfricansSC Hata forz alipokuja watu walipinga hivi hivi. Mpira ni mchezo wa wazi na na Kibaya zaidi huyo coach anajulika, aliichukua masandawana kama coach mkuu 2024 kwny benchi la fundi alikuwepo forz.
@YoungAfricansSC Linapokuja swala la makocha sijui Yanga wanafeli wapi? Huyu alikuwa coach mkuu masandawana 2024 yeye na Forz alikuwa kwny benchi la ufundi pia. In short ni coach wa kawaida