One thing is for sure "DEFENDERS ARE THE ONE LEADING THE TEAM TO WIN TROPHIES BUT STRIKERS/ATTACKERS WINS MATCH ".......US UNITED WE GOT NONE OF THE ABOVE @George_Ambangil@Bamdogo__
@markbruvv@George_Ambangil True kaka kuna muda mali iko chini watu hawafungui wakipata mali wanairudisha nyuma tena alafu hatushindi mipambano yetu kabisa yani this team
@George_Ambangil Kaka unaongea ukweli kabisa yani brighton walistahili kushinda how comes hatuweki hata nguvu kwenye migongano wala presha kwenye mpira , tunashambulia kwa kutembea how yan dadeki this team is dying soon litabaki jina 100%
@Sativa255 My fellow Tanzanians kusoma hakumfanyi mtu kiongozi wala vyeti haviwezi kukupa sifa ya kuongoza wala izo treaty au protocol hazina power ya kuweza mdefine mtu kuw kiongozi maana ni maandishi ya kusoma na kuya apply hayana umaana wa kuwa bila kuyajua kunapoteza maana ya uongozi
@MickyJnr__ My fellow Tanzanians this year we have an honor to host a major tournament which is Chan than a single match lets put a balance to this story lets focus with Chan as long as the game can be played at zanzibar for remainder it is in zanzibar where simba won semis
@Jackiumeme@George_Ambangil@Bwoy_Zackie Hapo kwa odeegard unajidanganya mzee as nje ya stats bruno ni far better kuliko odegaard hata maddison tu anampita uyo odeegard