@NIDA_Tanzania Kwahiyo mtu kupata kitambulisho anatakiwa akae na number zaidi ya miaka mingapi? Coz mimi mwaka na nusu sasa nashida na kitambulisho lkn nambiwa bado
Muheshimu Sana Mwanamke aliyekuvumilia wakati hauna kituโ๏ธ
Leo niongee na wanaume wenzangu kuhusu kuwapa heshima wanayostahili hawa wanawake wenye uwezo wa kuvumilia kila hali ya mwanaume wake huku akimtia moyo na kumpa nguvu ya utafutaji.
Aina hii ya wanawake siyo wengi na
Siyo wote. Mimi niliwahi kuwa Waziri, kasome kanuni zote nilizosaini utaona โlocal contentโ. Tazama kanuni za ugawaji wa vitalu vya uwindaji, mabucha ya wanyamapori, mashamba ya wanyamapori, TALA license, n.k. Zote hizi mtu hawezi kutoka nje akapewa bila share za mzawa ndani yake