Wauzaji wa Nafaka mbalimbali. Tunakuletea popote ulipo ndani ya jiji la Dar es salaam kwa gharama ndogo.
Your health, our priority ๐
Online/Call/SMS 0683005563
Mchele super 2200
Grade 2 -2000
Grade 3 -1800
Karanga 2900
Maharage
Njano 2200 kuanzia 100kg inapungua kidogo
Rosecoco 2100 mpaka 2000 inategemea na kilo
Choroko - 2200
Njugu mawe - 3000
Ulezi -2400 ,Karibuni sana
Tunafanya delivery maeneo yote ya dsm,Call/TsApp 0683005563
@Adam_mchina@kasesco_tz mimi niliandikiwa vipimo vya laki nne na 90 majinu yanatoka naumwa h pyrol kipimo chake ni 20k aiseeee nilimuangalia doctor kwa jicho la uchungu na ni hosptal kubwa tu hapa mjini
EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
OMG!! ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.