Nilimuuliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, βNi hatua zipi Serikali inachukua katika kuangalia ustawi wa mtoto aliyezaliwa na mtoto chini ya miaka 18 au mwanafunzi baada ya kumfunga miaka 30 jela Baba yake kwa kosa la kumpa ujauzito?β
#OneonOneWasafiTV
Mahojiano na Katani Ahmed Katani, Aliyewania Ubunge kupitia CUF 2010, na kisha kushinda ubunge kupitia CUF (2015-2020), na baadae kushinda kupitia CCM (2020 - 2025). https://t.co/IiazQwy4xw
Sasa Mzee wangu Hashim Rungwe ataenda kuongeza idadi ya wagombea katika uchaguzi. Hali ilikua ngumu sana kwake kama alivyonieleza katika mahojiano ya One on One kupitia @wasafitv
Kanuni kuu ya kuwa MUONGO MAHIRI ni KUTOKUA MSAHAULIFU. Kwa lugha nyingine; unakua muongo mpaka wewe mwenyewe unauamini huo uongo kuwa ndio ukweli. Lakini wakati unafanya hivyo, kumbuka Amri Kuu za Mungu, amri ya 9 ni βUsiseme Uongoβ.
Nimezungumza mambo mengi na Sheikh Ponda Issa Ponda kupitia One on One with @2CharlesWilliam, unaweza kutazama mahojiano kamili hapa
https://t.co/l6rdv4uFHO
Mdau wa Kiswahili, Joram Nkumbi anashauri Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia mpaka kidato cha nne ili vijana wapate maarifa zaidi badala ya kukariri vitu bila kuvielewa: