Naam. Assalamu Aleikum mpenzi mtazamaji. Kwa kuwa muda umeyoyoma, tutaweza kupata runinga mbili. Moja ya kuangalia kijana wetu wa Daystar; Musa Kula ngori na hilo nyingine ya kumtazama poster boy.
Poster boy atakimbilia wapi....jameniππππ jamaa ameshinda ametuhangaisha huku juu ya kukuwa kwa bill board...ana knock last minute πππ₯²