@ZPlanmaster Hapo kila Mmoja anaukali kwenye kipengele chake, Ila chaguo la wengi ni Muhando cos Sii muimbaji tu wa nyimbo za injili, Ila Pia ni mtumbuizaji/ entertainer wa nyimbo za injili. Kiufupi ni Diamond wa gospel upande wa wanawake. Kwahiyo anafurahisha kumskiza na kumtazama.