Albert Einstein alifariki mwaka 1955 akiwa na miaka 76, lakini maneno yake bado yanaumiza kwa ukweli wake,
“Kuwa na akili wakati mwingine ni laana. Unaielewa mchezo, unaona uongo, na unatambua mienendo inavyoendelea, lakini bado unalazimika kujifanya mjinga ili uweze kuishi.”
Mawakili wa Kiongozi wa upinzani nchini Zambia, Brian Mundubile, wamethibitisha kuwa mteja wao amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kosa la uhaini, wakati mvutano wa kisiasa ukiendelea kuongezeka nchini humo.
Wakili wake, Milner Katolo, amesema Mundubile yuko tayari kujitetea dhidi ya mashtaka hayo mahakamani, akithibitisha taarifa hiyo Jumamosi jioni katika mahojiano na Shirika la Habari la Zambian Eye.
Mundubile alikamatwa Alhamisi kufuatia operesheni ya mamlaka, baada ya awali kujificha kutokana na hatua zilizochukuliwa dhidi yake.
Kiongozi huyo wa Upinzani alikuwa amepinga matokeo ya Uchaguzi wa hivi karibuni wa Urais nchini Zambia, ambapo Rais Hakainde Hichilema alitangazwa kuwa mshindi na kupata muhula wa pili madarakani.
Mamlaka nchini humo zimekuwa zikikituhumu chama cha Mundubile, NRPUP, kwa kupanga uasi wa kutumia silaha, madai ambayo chama hicho kimeyakanusha.
#KitengeUpdates
Life is unpredictable!!
Nobody knows what the next moment holds. Life can change in a heartbeat—so cherish the present, because nothing is guaranteed. ❤️
Anko
"Nilishawahi kuona Funza Kwenye Embe, Nikamwona kwenye Papai.
Lakini Sijawahi kumwona kwenye Limao.
Wakati Mwingine Kuwa Mtamu Sana Ndiko Kunakokufanya Uliwe.
Uvccm msijione mko salama,machawa wa mitandaoni pia msijione mko salama kisa mnavaa kijani kuna siku watawageuka.Ifike mahali tuungane kupambania haki zetu.