Taarifa:
Kutokana na ukame unaoikumba nchi ya Zambia, nchi hiyo imeingia makubaliano na Tanzania kununua tani 650,000 za mahindi kwa ajili ya kuwasaidia wananchi milioni saba wa taifa hilo.
Mkataba huo utatekelezwa kwa kipindi cha miezi nane na utaiingizia Tanzania dola milioni 250 sawa na Sh650 bilioni.
Mahindi hayo yatakayosafirishwa kwenda Zambia yatatolewa katika maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ambapo kwa kituo cha Songwe mahindi tani 55,000, Makambako tani 75,000, Sumbawanga tani 250,000 na Songea tani 270,000.
Mkataba huo umesainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa NFRA Dk Andrew Komba pamoja na Mratibu wa Maafa kitaifa nchini Zambia Dk Gabriel Pollen, wakishuhudiwa na mimi kama Waziri wa Kilimo,
Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba na Waziri wa Kilimo Zambia Reuben Phiri.
@Matallahkhamis@khaledponera@kwamekivaisi@Eng_Matarra Watu wanapenda sana kujugde vitu kwa hisia. aise Uko sahihi, mana wafungwa wote wenye familia yafaa watoke. Mtandao una sheria. Na kila nchi zipo. Watu sjui kwann wanaopt kuwa upande wa kuvunja sheria alafu wanataka waachwe! NO. Sheria zifatwe na zionekane zikifatwa. ATULIE NDANI
@khaledponera@kwamekivaisi@Eng_Matarra Hii ndo hovyo mentality, ndomana hamna mTz anaekuwa moved na mashindano yenu mana Mnaishia kufungwa. Yall never strategic! Ujinga tuu. Sasa mnatukana mnafungwa, mnaandika vitu sio vyenu kuandika, there laws. Mnafungwaa. Tumieni akilii tokeni kwenye vitu personal za watu!
@Furious_jerry @Siasazabongo202 @Joh_cabinet@mangekimambi@420Cousin@Aduiwayanga@ze_mandevu Kiukweli tunatamani kila mtu achoke, @mangekimambi hataishia kwa kina Uwoya atafika makwenu. Ela haina kutosha, ipo siku atapata video za wazazi au walezi wenu. With her it is either akomoe Serikali kwa namna yeyote au apost picha zenu mkiwa mnatombana. Stop thinking yo safe.
Maudhui ya mtandaoni yanaweza kuboresha au kudhoofisha uwezo wa kufikiri na kushiriki na wengine. Tumia kwa kiasi, chagua yanayokusaidia, epuka habari za uongo, na weka muda wa matumizi. Jihusishe zaidi na maisha nje ya mtandao. #OnlineSafety#MtandaoRafiki#ElimikaWikiendi