โโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโ
4. PIETRAIN (PT) โ Mashine ya nyama โข Misuli mingi (lean meat)
โข Mafuta kidogo
โข Ubora mkubwa wa nyama
โข Inahitaji management nzuri
๐ Huongeza quality ya soko
Wafugaji wengi hununua nguruwe bila mpango, wakidhani wote ni sawa โ matokeo yake hujikuta wakifanya kazi kubwa bila faida ya kutosha.
Kitaalamu, tofauti ya breed ndiyo huamua:
๐ kasi ya ukuaji
๐ gharama ya chakula
๐ ubora wa nyama
๐ na mwisho wakeโฆ faida au hasara
โโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโ
3. DUROC โ Injini ya ukuaji โข Hukua haraka sana
โข Huboresha ladha ya nyama
โข Wenye nguvu na ustahimilivu
โข Huongeza growth rate
๐ Engine ya faida kwenye fattening
Wengi wanamchukulia nguruwe kama mnyama wa kawaida tuโฆ lakini ukweli ni kwamba huyu ni mashine ya kuzalisha pesa kama ukimfuga kwa mfumo sahihi ๐ฐ
mifugo mingi haiwezi kufikia.
wewe Unamjua kwa sifa gani?