BREAKING: Tumepata taarifa zinazoogopesha kidogo. Kuna taarifa zinazodai kwamba, maaskari wa Jeshi, TISS na Polisi ambao hawaungi mkono Serikali wanauwawa. Watu wanapotea, hasa Jeshini watu wanapotea katika njia za kutatanisha. Wazalendo wanauwawa. #TanzaniaLeaks
Watoto wa Mzee Joseph Warioba, sijui kama wanatambua baraka kubwa waliyo nayo. Kuwa na baba mzuri, mwema, na mwenye uadilifu wa moyo ni neema adimu sana. Katika Dunia ya leo ambako watu wengi wanathamini vitu kuliko utu, kuwa na baba wa namna ya Mzee Warioba ni jambo la kujivunia na la kushukuru kwa Mungu kila siku. Nasisitiza kwa dhati kabisa ya moyo wangu , nyie watoto wa Mzee Warioba mna baba mzuri sana. Mlindeni , mpendeni Baba yenu kwa gharama kubwa sana.
Mlinzi wa Mheshimiwa Tundu Lissu, Bwana Charles hangaya aliyetekwa na watu wasiojulikana November 8, 2025 imethibitika kwamba yupo kituo cha Polisi cha Oysterbay.
Katibu Mwenezi wa BAVICHA Taifa Mhe. @FeliusFesto amefanikiwa kumwona kituoni hapo.
CHALAMILA STOP THAT!? NASISI HATUTABAKI KIMYA TENA INATOSHA SASA...
Mkumbusheni Albert Chalamila yeye ni mmoja wa wahalifu waliochochea vyombo vya dola kutumia nguvu zilizokithiri dhidi ya Raia. Aelewe kwamba hatutaendelea kuvumilia yeye kunyanyasa watu kwasababu tuu ni Mkuu wa Mkoa. TUTAMCHUKULIA HATUA RASMI YEYE BINAFSI NA WALE WOTE ANAO SHIRIKIANA NAO KUENDELEZA MATENDO YAKE YA UHALIFU DHIDI YA WATU WASIO NA HATIA.
Shambulio dhidi ya mmoja wetu tutachukua kuwa shambulia dhidi yetu sote.
Tunazo rekodi zako zote na Kauli zako zote za kabla ,wakati na punde Baada ya Uchaguzi na zote zinachochea au kushabikia mauaji ya kimbari
Huu ni wakati wa Sisi kujikana na kusimamam na Viongozi wanao jali maslahi ya Ummaa na kutetea Utawala Bora na Utawala wa sheria.
Kile kilichofanywa dhidi ya Tundu Antipass Lissu hatutaruhusu kufanyika dhidi ya Father Kitima.Abert Chalamila lazima uangalie kauli zako zinavuka mipaka na huna kinga ya kutochukuliwa hatua kwajina lako.
Nadhani tunatakiwa kuchora mstari sasa.
HATUTAVUMILIA TENA MASHAMBULIZI DHIDI YA WATU WEMA KWA KISINGIZIO CHA KUCHUKUA HATUA ZAKISHERIA.....INATOSHA SASA.
BAK MWABUKUSI.
Zimbabwe iliwahi kuwa Nchi nzuri, kilimo bora, Elimu na miundombinu bora sana Afrika.
Waafrika wengi walikimbilia Zimbabwe kutafuta kazi, ilijulikana kama basket of Africa kwa chakula.
Viongozi wakakosa ushawishi wakabaki madarakani kwa nguvu, mtutu na ulaghai wa kuwambia watu kwamba mabeberu na ushenzi mwingine kama huo.
Leo Zimbabwe watoto wanakufa kwa utapiamlo Nchi imekufa hata sarafu yake tu haina.. imebaki genge la viongozi kufanya dili na wachina.
Utawala huu dhalimu Unaweza kuifanya Tanzania ikawa Zimbabwe kama umma hatakua makini.
Nchi hii ina matatizo mengi mno, ufisadi wa kutisha, rushwa miundombinu mibovu na hafifu, kuiingiza kwenye matatizo lukuki ya kidemokrasia na kidiplomasia ni kuhujumu Nchi.