Karne ya 21 yenye mseto wa elimu ya Sayansi, elimu ya TEHAMA na vifaa tiba vitoavyo majibu sahihi kwa asilimia zaidi ya 89, si kipindi cha polisi kupata majibu kwa uzoefu na ni kinyume cha kanuni za utawala bora kwa kiongozi wa juu kukubali na kutilia mkazo uzoefu wa kipelelezi.
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Taifa, Dkt. Rugemeleza Nshala hii leo Julai 03, 2026 akizungumza na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam amesema Tundu Lissu ameweka pingamizi zito na ameitaka ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini hapo kumlipa fidia.
‼️DEREVA WA HECHE AUWAWA KWA SUMU‼️
Kwa msiomfahamu Suez Dani Maradufu ambae ni Dereva wa Mhe. Heche kabla hajawa Dereva wa Heche alikuwa dereva wa Baba ake Mhe. Heche.
Amefanyakazi kwenye familia ya Mhe. Heche kwa miaka mingi baada ya Baba ake Heche kufariki, mwaka 2015 Mhe. Heche alipochaguliwa kuwa Mbunge ndipo alimchukua Suez Maradufu ili awe Dereva wake.
Sasa turudi kwenye issue ya mauaji/kifo
Siku ya tukio Mzee Suez Dani Maradufu aliamka asubuhi kama kawaida akatimiza wajibu wake, na alikuwa ni mzima wa afya.
Kwa mujibu wa mtoa taarifa anasema kwamba siku ya tukio, kabla Mzee Suez hajarudi kulala mahali alipokuwa amefikia, kuna Vijana wa Abdul na Sumai wakiongozwa na mtu ambae anaitwa Mark
Walienda mahali alipokuwa amefikia Mzee Suezi, walijitambulisha kwa mmoja wa wahudumu kwamba wao ni maofisa wa Usalama, wanataka kuonyeshwa chumba ambacho analala Mzee Suez Dani Maradufu ili wafanye ukaguzi maana kuna taarifa wamepewa kwamba ndani ya iko chumba kuna vilipuzi ambavyo CHADEMA wamepanga kuvitumia kwenye Maandamano ya 7/7 na kwamba wanavigawa kila Mkoa.
Muhudumu alikubali, akaongozana nao mpaka kwenye hicho chumba kisha akawafungukia mlango, walipoingia ndani ya chumba hawakufanya upekuzi kama walivodai badala yake walipulizia vitu ndani ya chumba cha Mzee Suez kisha wakaondoka zao lakin kabla hawajaondoka walimwambia Muhudumu asiseme chochote maana akisema wao watajua tu.
So baada ya muda kidogo kupita, Mzee Suez alifika bila kujua chochote akaingia chumbani kwake kulala, ilivofika asubuhi baada ya wenzake kumkosa kwenye simu, walimfuata mahali alipofikia na kumgongea mlango muda mrefu bila mafanikio, ndipo ikabidi watoe taarifa Polisi ambapo walifika eneo la tukio, wakavunja mlango na kukuta mwili wa Mzee Suez upo chini damu zikiwa zimetapakaa sakafuni.
Alikuwa na damu mdomoni, puani na masikioni, Polisi walichukua mwili na kuupeleka Hospital ya Mkoa kwa ajili ya Uchunguzi.
Sasa kwa mujibu wa mmoja wa Vijana wa Abdul anasema kwamba hao wauaji waliompa sumu Mzee Suez ndo wale ambao gari yao ilipigwa picha Makambako wakati inafuatilia msafara wa Mhe. Heche so walifuatilia msafara tangu akiwa Lindi mpaka anafika Kigoma ila walikuwa wanabadili Plate number za gari ili wasishtukiwe.
Wauaji hao baada ya kufanikisha mauaji ya Dereva wa Heche, juzi mchana walirudi pale Lodge alipokuwa amefikia Mzee Suez wakachukua baadhi ya Wahudumu na kuondoka nao akiwemo yule ambae aliwafungulia chumba cha Mzee Suez ili kuzuia taarifa isivuje.
Mtoa taarifa anasema kwamba majibu ya Postmortem tayari wanayo tangu jana mchana wakati huo hata Uchunguzi bado haujafanyika, wamepanga kusema kwamba Mzee Suez alikuwa na mwanamke, alikunywa dawa za kuongeza nguvu za kiume, dawa zikamzidia na kusababisha umauti.
Ndo maana Polisi kwenye taarifa yao wanasema kwamba walimkuta na dawa, wakati dawa walizomkuta nazo ni dawa za kutuliza maumivu ya kichwa na tumbo, wanataja sana izo dawa kwasababu wanajua mwisho wa siku Report yao ya mchongo itasema ivo ivo.
So hata ile kauli ya IGP Mstaafu Simon Siro ambae ndo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwamba kifo cha Suez ni cha kawaida haikuwa bahati mbaya ndo maana hata hao MaPathologist walivofika tu Kigoma, wakaenda ofsini kwa Sirro kupewa maelekezo ya nini ambacho wanatakiwa kufanya.
#JusticeForSuezMaradufu
My brother SC Tundu AM Lissu back in court for his staged treason trial. Rallying behind him all the way. Killer Samia Suluhu is trying so harder to implicate him, but been more than a year of failure. VIVA President Tundu LISSU!!
Makamu Mwenyekiti wa Bara, Mhe. John Heche , pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Bara, Mhe. Aman Golugwa, na viongozi wengine, wamewasili katika mortuary ya Hospitali ya Mkoa wa Kigoma, Maweni, muda mfupi kabla ya kuanza kwa uchunguzi wa mwili wa marehemu Suez Dani Maradufu. Uchunguzi huo unalenga kubaini chanzo cha kifo chake.
Live Kesi ya Tundu Lissu inaendelea muda huu kufuatilia Bonyeza link hii https://t.co/vVkvXv3Cah alafu follow channel.
Uoga umewaingia hawa wahuni. Hadi mashuleni wamepeleka siasa. Wanaogopa maandamano ha 7/7 hadi kuchelewa kufungua mashule.
Samuya Aondoke tu. Hana maana kabisa huyu mama, anaivuruga Tanganyika
#Tanzania
The brutal @SuluhuSamia regime thinks a $3 million lobby contract - with notorious dictator-defending BGR Group - can mask systemic oppression. Instead of needed reforms, Samia is betting that PR glitz can whitewash autocracy. This will fail.
https://t.co/6qSjV7Szd4
Mwanaharakati wa Marekani mwenye asili ya Kuwait, Dwaia Al-Ajmi, amezua mjadala mkubwa kwenye akaunti yake kwa kuandika: "Niko tayari kulipa madeni yote ya Misri.. lakini kwa sharti moja, picha yangu iwekwe kwenye pauni ya Misri (pauni/جنيه)!"
Hapa ni mfano wa txt ambazo sipendi zitoke kwa mwanaume kwenda kwa mwanamke wake.
1. Umelala?
2. Mbona nakutumia txt haujibu?
3. Inamaana missed calls zangu hauzioni?
4. Ume enjoy? [After sex]
5. Weekend tunaweza kuonana?
Instead try things like.
5. Weekend hii naomba tuonane saa 10 jioni eneo X (zingatia mda ambao ni convinient kwake) kama hana mda atakujibu na mtaelewana kwa urahisi.
4. Usishukuru wala kuuliza inatakiwa ije automatically kutoka kwake (asiposema haimaanishi haujaichapa vizuri)
3&2. Akikucheki keep conversation normal usiulize kausha tu huku ukiangalia PROJECT MPYA. (Zingatia nature ya majukumu yake)
1. So weird ila to be from a man. Aulize yeye.
BONUS.
(a) Usipende kum-criticise mwanamke wako, msifie.
(b) Akizingua usisite kumfokea ukiogopa atakuacha.
Mwisho kabisa, chase goals and money the most, wanawake wapo sana.
Ukitafuta pesa unapata pesa na wanawake, ukisaka wanawake kwa nguvu na hauna pesa ni unakosa wanawake zaidi.