@Jambotv_@PMadeleka@ACTwazalendo Kweli nimeamini kila mtu ananunulika ni vile tu mnakuwa hamjafikia bei yake. Wanasiasa kama hawa mwl Nyerere aliwahi kuwaita .........
@zittokabwe Niliwahi kujiunga upinzani kwa kufata siasa za kujenga hoja, kujiamini na kusimamia ajenda kama kipindi cha Escrow na akina Kafulila. Kwa sasa ni heri kuachana na mambo ya kisiasa ukafanya mambo yako. Wanasiasa wa upinzani mmebaki kuchumia matumbo yenu tu
@Phbhimself Ngoja tusubiri tamko. Makazi ya baraza la maaskofu si uchochoroni, ni eneo hata wanaoingia na kutoka lazima wafahamike. Nadhani hao mashuhuda kuna mambo mengine hapo hawajayafafanua vizuri. Msalani eneo kama hilo hatutegemei pawe na giza au pawe na umbali mkubwa kutokea mgahawani
@Dr_DGwajima Kama ile picha mjongeo ni halisi, basi hao mabinti ni wa kufikishwa mahakamani kwa kosa la shambulio ili binti aliyeshambuliwa apate haki yake ili liwe funzo kwa wengine. Tunaamini haki itatendeka, mahakama ndo itahukumu
@swahilitimes Hiyo adhabu imelengwa mahsusi kwa ajili ya wanaume. Na mwanamke atakayebeba mimba bila makubaliano ya maandishi na mwanaume, basi nae atozwe mil 10
@YerickoNyerereT@freemanmbowetz Wadau demokrasia tumeumizwa na tamko la FAM. Ninamuomba radhi the late JPM aliyetaka kujiongezea mda wanaharati uchwara mkaanza kumsema vibaya. Kwa haya yanayoendelea MAMA SAMIA na Abdul tutawachagua waongoze hii nchi mpaka wachoke. Hata wakichoka tutawalazimisha