Kama mzazi wa kizazi hiki.
Hakuna baraka kubwa kama kuona mtoto ametoka nyumbani kwa zaidi ya saa 10 bila uwepo wako na akarudi nyumbani salama.
Underated blessing.! 🕊️
@KennedyMmari Wabongo wanalalamika wageni wanachukua ajira zao, wakati wabongo wenyewe uvivu na kupenda shortcut... matokeo yatakua kama ya wasauz wanaofukuza wageni wakati wenyewe kazi hayataki
Rais Trump akiaga miili ya askari wanne wa Marekani waliouawa kwa mashambulizi ya Iran. Watatu kati yao wameuawa kwenye kambi ya Marekani iliyopo Jordan na mmoja ameuawa huko Iraq. Trump amepiga salute kama ishara ya heshima na amekutana na familia za askari hao.
TAARIFA KWA UMMA.
Klabu ya Singida Black Stars inathibitisha kufikia makubaliano ya kumuuza mshambuliaji wetu, Mossi Nduwumwe, kwenda klabu ya Yanga kwa ada ya uhamisho wa Dola za Kimarekani 250,000 ($250,000).
Tunapenda kumshukuru Mossi kwa mchango wake mkubwa
Asante sana.