@BuxMsafi@vistovic17 Mpira wenyewe umebadilika dhamani tilu kubwa zilikua zinashindana zenyewe tu sahivi hata yimu ndogo inakufunga vizuri tu ila kipindi cha mess na Ronaldo timu ndogo nyingi hazikua na ushindani kabisa
@derc2323 Kuna namna setup za odd hua zinakataa kabisa mfano jana paripesa kwa mechi mbili zote za jana timu za ugenini sporting na madrid kupiga kona 9 kwa pamojo ilikua odd ya 3 na haikutoa. Jamaa wako mbele ya mda sana