@Roma_Mkatoliki Kutochukulia vitu personal sio Kaz rahis Kuna ambao hawawezi na SI kwasababu wazembe , Kuna namna tumeumbwa tofauti mioyo yetu hata namna ya kuyakabil mambo yanapotokea., Kuna mwengine hata furaha yake tu anashindwa kuicontrol, anazidisha vibe anaharibu Zaid
@Njamasi__ Mfuko wa cement elf3 tofar 150 unga sh 100 kilo kalot shi Tano na kulikua hakuna wanawake wakali wenye makalio , na walikua hawakai uchi mapaja waz kama sahiv , make up adimu , kupata mpaka uipige mwaka mzima asa kwa mfumo huu kwann wasijenge
@Roma_Mkatoliki Mwisho wa siku dhamira ya kwel ya kutetea haki na uadilifu itabak pale pale ,sio ishu ulianza hzi harakat wengine tuko skul tunaskia lawama zako dhid ya watawala kupitia mangoma yako , kwahyo ifike wakat twende na wanakuamin hata kama kundi limechanganyika na miyeyusho
@greenhearttttt Hapa kama taifa tutakua tumefeli pakubwa sana
Imagine Sasa bakola zimefutwa unampa adhabu ya pushup anapiga mbil analala kachoka 🤣🤣 unamfanyaje akichoka au akigoma