@Paulmeda1 Kila mtu Ana ndoto yake ndio maana aligombea hapa Tanzania Kama Mbunge, na yeye sio wa kwanza amekuja Kama mzalendo sababu ya Uwezo wake Nchi imemuita aje atumike Kujenga na kuendeleza maendeoe
@agmwasanga Kila mmoja Ana ndoto yake na ipo mifano mingi sana na yeye sio wa Kwanza wapi Watangulizia wake waliacha kazi UN na wakaja Tanzania kufanya kazi ambazo wengi tunaamini Zina maslahi madogo Ila wao walitanguliza uzalendo kwanza
@krapfthe67@lifeofmshaba Upo sahihi kabisa ni vyema wakapewa hata mkoa wao Imagine Mtu anatoka Kisiwa cha mafia aje kutibiwa Tumb? Anavuka Mkoa wa Dar ndio aje mtu anatoka Utete anakuja kufuata Huduma Kibaha Mkoani hii ni sawa wawe na Hospital Yao na Mkoa wao pia itawafaa
ELIMU YAZIDI KUBORESHWA: UDSM Yawekeza Sh Bilioni 1.1 Kujenga Maabara za Kisasa Mbeya
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimewekeza Sh bilioni 1.1 katika ujenzi wa maabara za kisasa katika Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mbeya (MCHAS), hatua inayolenga kuimarisha elimu ya vitendo, utafiti na ubunifu katika sekta ya afya. Maabara hizo zitawapa wanafunzi mazingira bora ya kujifunza na kupata ujuzi unaohitajika katika soko la ajira na huduma za afya nchini.
@mlangila1@bajabiri Tukiwa tunaongea kwenye mitandao tuwe na ushahidi na kufuatilia mambo watu wanakushangaa kwamba haujui au unafanya makusudi alitegemea uwaziri lini? Na Ubunge hakuwa nao ulitaka haupate uwaziri wapi ?