👶Post chini ina Mtoto wa miezi 4 aliye na dalili kama:
•Kukosa choo (constipation)
•Kutokula vizuri (poor feeding)
•Udhaifu wa misuli (hypotonia)
•Kilio dhaifu (weak cry)
•Historia ya kula asali hivi karibuni
⚠️ Hali hii inajulikana kama botulism ya watoto wachanga, husababishwa na vimelea vya Clostridium botulinum vinavyopatikana kwenye asali.
🦠 Vimelea hivi hukua ndani ya utumbo wa mtoto na kutoa sumu inayodhoofisha mfumo wa neva, na kusababisha mtoto “kulegea” (floppy baby syndrome).
📊 Takriban asilimia 20 ya kesi za botulism kwa watoto hutokana na kula asali.
✅ Kinga ni muhimu zaidi!:
- Usimpe mtoto asali kabla ya kufikisha miezi 12
- Mfumo wa mmeng’enyo wa watoto wachanga haujakomaa vya kutosha kuzuia sumu ya botulinum.
🛑 Kwa hiyo, epuka kumpa mtoto mdogo asali.
✨ 🩺 Medicine is difficult - there are no shortcuts.
🔥 Let this sink in before you undertake medicine
👉 Let this sink in before you despise doctors
👉 Let this sink in before you fail to deploy interns
👉 Let this sink in before you pay peanuts to doctors!
@bmj
✨ ⭐ 🩺
🔴 🫁 ADVANCED THORACIC #POCUS 🫁
🔸🅰️-Line: Physiologic reflection of pleural line
🔸🅱️-Line: Vertical comet tail artifacts
🔸🦓 Z-line: ill defined artifacts shorter in depth that look like B-lines but aren't
🔸🆎Lung profiles can help with diagnoses