@jamiivoice Unazungumzia mamlaka ipi unaposema “madai kuhusu matumizi ya silaha katika tukio hilo bado yanahitaji kuthibitishwa na mamlaka husika?” Hiyo mamlaka kaipa nani uharari wa kuzibitisha ilihari yenyewe ndio inahusika kwa 100%? Jiamini ndg mhariri
@lifeofmshaba Watu hawa ni muhimu sana wakifukuzwa na kuja upande wetu, kwa hasira, jaziba na visasi walivyonavyo wanaweza toa mchango wa mawazo ya namna ya kukabiliana na WAUAJI, isitoshe itawafanya machawa wa JITATHMINI kwa yanayoendelea kwa watu wanaodhani ni wa kubwa kisiasa kuondolewa
🇹🇿 | Tundu Lissu is our nominee for the 2026 SAKHAROV PRIZE!
The Tanzanian opposition leader has spent much of his life campaigning for free and fair elections, constitutional government, freedom of expression and the rule of law.
In 2017, he survived an assassination attempt. Last year, he was arrested following a political rally and charged with treason, a capital offence carrying the possibility of the death penalty.
His nomination is our message of solidarity with those who refuse to be silenced by political persecution.
@Jambotv_@ChademaTZ2@mangekimambi@godbless_lema Huyu anafanya damage control tu anajisafisha baada ya mission kubainika na anajaribu kujinasua kwenye tuhuma ili asionekane anahusika kwa Kujitenga na tuhuma hizo na kuweka wazi hahusiki kwa Kutoa ufafanuzi na kueleza msimamo wake, inshort anarekebisha tu tuhuma zinazomhusisha
The EPP Group has nominated lawyer, human rights activist and politician Mr Tundu Lissu as a candidate for the Sakharov Prize.
After surviving a 2017 assassination attempt, Mr Lissu returned to Tanzania to continue advocating democratic reform, only to face arrest, treason charges and exclusion from the 2025 presidential election, while his party was barred from participating.
His case reflects the wider erosion of democratic pluralism and political competition in Tanzania.
For the EPP Group, Mr Lissu represents a powerful combination of personal courage, democratic conviction and geopolitical relevance. His nomination affirms that Europe stands with those defending constitutional democracy and political freedom in Africa and in other partner countries of the EU. Mr Lissu embodies the defence of democracy, political pluralism, the rule of law and fundamental freedoms at extraordinary personal cost.
The Sakharov Prize for Freedom of Thought is the highest tribute paid by the European Union to human rights work.
@Dr83Kinga@godbless_lema Tumia akri zako fikirishi si hadi Mh HECHE/LISSU watoe kauli ilihari unafahamu wako busy na kesi, ni ngumu kwa LEMA kujibu bila muhemko wa kibinadamu, kajibu kwa namna inayotakiwa na upande wa SAMIA na ndio maana aliingiza mambo ya passport ya HECHE na COURT imetumia jana tweet
@mangekimambi Shukhrani kwa kutujuza, wengine tunafahamu hatua za kuchukua dhidi ya LEMA, kama DADA wa TAIFA na Mwenye USHAWISHI napendekeza utoe HATIMA ya nini watu wafanye dhidi ya LEMA kwa niaba ya ambao hawafahamu cha kufanya🤝