โณ Wachezaji wanaomiliki PISI KALI zaidi Tanzania ๐คฉ RE-TWEET๐๐ฟ
.
Wana-Falsafa wanasema kwenye kila mafanikio ya Mwanaume basi nyuma yake kuna Mwanamke. Sasa usione Mchezaji ana-shine Uwanjani,jua tu nyuma yake kuna pisi kali inayomtuliza moyo wake.
.
NB: NAMBA 1 ITAKUSHANGAZA ๐คฉ
Wood Dining & Office Table Size 240cmx100cm from one piece Price from 790,000 TSH
Whatsapp +255 67 486 8522
Delivery TANZANIA - DAR ES SALAAM
https://t.co/b9MNnO9ftg
"Kama Afrika Kusini wanataka kuchangia kwenye upatikanaji wa Amani huko Congo hilo ni jambo
zuri sana,
ila kama Afrika Kusini wanataka vurugu basi
Rwanda itajibu mapigo muda wowote na saa yoyote ile"
โ Rais wa Rwanda, Paul Kagame
Soma chanzo..
Screenshot kwa Comments ๐
Clam Vevo ndio anahaki ya kujiita,
"MTOTO MDOGO PESSA MINGI"
kwa sababu hata miaka 30 hajafikisha,
Ukifikisha 30 years wewe sio mtoto tena, ๐๐๐
Angalia mjengo huo....
Video kwa Comments ๐
Watagini TCRA, Samia na mwanae Abdul, sasa hivi hakuna kampuni ya social media itasikiliza maujinga yao ya kutaka watu wafungiwe account. Bwana Zuck anasema kuanzia sasa na instagram tunaweza kujiachia tu kama ilivyo huku X. Nakojoaaaaa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nyie 2025 imeanza vizuri.
Hawa DIASPORA ambao leo wanaonekana wapo nyuma ya LISSU na mwenyekiti anawaweka kundi la watu wabaya kwa Chama hii ni baadhi ya michango yao kwa CHAMA na mapambano ya HAKI.
Yapo matawi mengi sana ya CHADEMA nchini yanapata ufadhili wa kipesa kutoka kwa watu wa DIASPORA. Hawa ni watu ambao wapo positive wanatamani mabadiliko ya kweli kwenye hii nchi.
Ndiomaana hawaichangii CCM kwasababu wale ndio maadui wetu wa maendeleo. Mwenyekiti MBOWE yeye binafsi alienda kuwashukuru DIASPORA alipotoka JELA. Na hakuishia hapo alienda kufungua na TAWI lao pia la CHADEMA DIASPORA.
Leo hii hawa watu kuwaweka Kundi moja la watu wabaya ni kukosa SHUKRANI. Hiki ni chama ambacho kinapambana kuchukua Dola siku moja, kuanza kubaguana mapema hivi sio afya kwenye haya mapambano.
Kama ambavyo mwenyekiti MBOWE anavyoungwa mkono na wenyeviti wa mikoa na wale wa kanda wa chama, ndio vivyo hivyo Lissu anavyoungwa mkono na DIASPORA wala sio ishu.
Tunachotakiwa ni kukubali ushindani na kuacha Demokrasia ichukue nafasi yake. Ni wazi kuwa WATU WAMECHOKA NA BUSARA NA HEKIMA ZA MH. MBOWE. Hizi sifa zake za BUSARA NA HEKIMA ndio zimetufikisha hapa tulipo kama wapinzani wa WAKOLONI WEUSI.
Michango ya DIASPORA kwenye mapambano ya kweli ya hii nchi hasa kupambania HAKI haitakiwi kupuuzwa hata kidogo.
SATIVA17๐ซก
Juzi kuna hoja Mwenyekiti wa Chama MBOWE aliziibua zisipopata majibu zinaweza kuleta shida.
Kuna hoja ya kwamba โDIASPORA ndio wapo nyuma ya TUNDU LISSUโ. Lazima tujiulize hawa DIASPORA ni wakina nani? Na kwanini wameamua kuwa nyuma ya TUNDU LISSU, wanafaidika na nini kuwa nyuma ya TUNDU LISSU.
Diaspora ni watu ambao ni WATANZANIA au wenye asili ya WATANZANIA ambao wanaishi nje ya Tanzania. Hili ni kundi la watu ambao siku zote nchi ambazo zinaongozwa na MADIKTEKA linaogopwa sana na Serikali.
Serikali nyingi ambazo zinakandamiza haki za wananchi wake, huwaga hazina urafiki kabisa na hili kundi, kwasababu ni kundi la watu ambao, wanaishi maisha yao nje ya serikali husika, wana nguvu ya kipesa, wanasikilizwa na serikali za mataifa waliyopo.
Hili kundi la watanzania waliopo Nje ya Tanzania lilianza kufuatilia siasa za Tanzania na kukiunga mkono chama kikuu cha upinzani mwaka 2015, kwa kipindi chote cha MAGUFURI na udiktekta wake wote hawa jamaa walisimama na kupiga kelele, kusaidia CHADEMA.
Waliwasaidia CHADEMA kwa njia za Kifedha, kusaidia njia za kiusalama ikiwepo kuwatafutia hifadhi wanachama wakipata tishio la maisha nchini, kuchangia matibabu kwa wanaopata madhira kutoka kwa watawala, kuchangia kulipa FAINI mahakamani kwenye kesi za kisiasa.
Haya yote yalikuwa yanafanywa Public na dinia ilikuwaa inaona,na ndiomaana hata mwenyekiti MBOWE alipotoka JELA baada ya kukaa ndani kwa zaidia ya siku 220 kwa kesi ya UGAIDI, hawa DAYASPORA walifanya kwa nafasi yao ikiwemo kuchangia pesa zaidi ya Milioni 70.
Na wote mnakumbuka Mwenyekiti baada ya kutoka tuu Jela, moja ya ziara yake ya kwanza ilikuwa ni kuwatembelea hawa Diaspora na kuenda kufungua TAWI rasmi la CHAMA huko nje. Kwahiyo ndani ya CHAMA hawa watu wanatambulika kabisa.
Mbona imekuwa GAFLA sana mwenyekiti kuanza kuwaona hawa watu kama watu ambao sio rafiki kwa chama? Uhatari wao kwa chama ni upi?
Leo hii HOFU ya CCM (Wakoloni WEUSI) iwe hofu ya CHADEMA pia? Kuna haja gani ya kujiita chama Cha UPINZANI kama tunakuwa na akili kama za WAKOLONI WEUSI. Kuna siri ambayo MWENYEKITI anaificha nyuma ya chuki hizi kwa Diaspora, lazima waandishi wa habari mtusaidie siku mkikutana nae atuambie ni nini kimemfanya ageuke gafla na kulikataa hili kundi.
SATIVA17๐ซก
Magufuli aliambiwa kuhusu ugonjwa wa Mkapa, ilikuwa Covid 19 ina msumbua na alikuwa na hali mbaya sana, madaktari na familia waliomba apelekwa Afrika ya Kusini kupata matibabu sahihi kutokana na hali yake kuwa mbaya
Magufuli akakata kutoa ruhusa ya matibabu mpaka kifo kilimpomkuta wakasema ni homa
โขโขIN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST https://t.co/WSPnxjVIya Erick Kabenderas://amzn.eu/d/9hLJGmt Erick Kabendera 2024
Usalama wa Taifa ni taasisi imejaa wahuni
Haya yote yanatokeaje mbele ya macho yao?
Haya mambo alifanya Jiwe ni criminal
Sasa hivi Samia anaruka na chopa ya Jeshi kila siku kati ya Dar na Zanzibar hataki kukaa kwenye Ikulu za Tanganyika anaogopa wachawi
Lakini mnataka awe Raisi Mitano tena kivipi? Mtu wa aina hii anaendelea vipi kuwa Rais wa nchi anayoiogopa? Imepelekea anapotea potea, Rais wa Muungano shughuli zake ziko Tanganyika kwa 95% anafanya nini huko Zanzibar na kuna kiongozi wake ?
Alisema ameamia Dodoma kama sio kudanganya umma ni nini? Alirudi lini Dar ? Anaogopa nini Dodoma maana huko ndiko hataki hata kusikia
Ameogopq ndege za Zamani zote akaamia kwenye chopa la jeshi sasa amenunua mpya mnataka sema atakuwa anaruka na hiyp Gulf kila siku ? Kutoka wapi Dodoma ?
Yote haya usalama wanaficha kwa faida ya nani? Hii hasara tunaingia mnatala tena kwa miaka mitano mingine ?
Sikuwahi kuomba njia yangu iwe rahisi!
Niliwahi kuomba Mungu anipe nguvu ya kupita kwenye mapito magumu! Self Prophecy....
Unakutana na trials, you face em, they make you who you are. They shape your character!
Kwasababu bado upo hai lipo kusudi toka kwa Mungu. Don't drift don't quit Man! Maneno najiambia daily....
JIWE LINALOISHI #THELIVINGSTONE
20TH DEC, 2024!!
Who's ready to unwrap this???
#jiwelinaloishi #thelivingstone #20thdec24
Bob Makani Muasisi wa CHADEMA akiwa na Edwin Mtei 1966
Hayati Bob Nyanga Makani alizaliwa mwaka 1936 katika Hospitali ya Kolandoto, Shinyanga.
Alikuwa ni mmoja wa watoto wengi katika familia ya Mzee Makani.
Alipokuwa na umri wa miaka sita alianza masomo yake katika Shule ya msingi Ibadakuli huko huko Shinyanga.
Kama ilivyokuwa kawaida ya Serikali ya Mkoloni Muingereza hapa Tanzania wakati huo, watoto wa Machifu walipelekwa kusoma Shule ya Sekondari Tabora, ndivyo ilivyokuwa kwa Hayati Bob pia.
Kutokana na uhodari wake katika masomo, Mheshimiwa Bob Makani alifaulu na kupelekwa katika Chuo Kikuu cha Makerere kilichopo Nchini Uganda.
Wakati huo kikiwa Chuo Kikuu cha pekee Afrika Mashariki, ambako alifuzu na kupata Shahada ya kwanza ya uchumi (BA Economics).