Aisee nimesikiliza hii clip mpaka mwili umesisimka aisee kama mmechokana achaneni tu kwa amani. Wanawake na nyie chungeni sana midomo yenu inaonekana kama mwamba alikua amekubali yaishe ila mwanamke amempush to the limit kwa kumuambia niue
NILIACHA KAZI SIKU 3 KUMTAFUTA MWANANGU - BABA IMMA______
Hassan Mhema, baba mzazi wa Imma, amezungumza na KingsFMRadio kuhusu mazingira ya maisha yao kabla ya Imma kuondoka nyumbani na kuelekea Mbeya, pamoja na hatua mbalimbali alizochukua katika siku tatu za kumtafuta mwanawe baada ya kutoweka nyumbani kwao Makambako, mkoani Njombe.
Another Banger ๐๐
Jina lake anaitwa Salma (Vanillah) kaishi sana Temeke na alikuwa anapenda sana kuigiza, ameamua kutu bless kabla ka wiki hakajaisha
Wakati TUNDU LISSU akianza rasmi kifungo chake Gerezani leo kwa kuwapambania Wananchi.
Wananchi anaowapambania leo hii wapo BIZE na Video ya Ngono ya Mwananfunzi, WATU wazima kabisa na Ndevu zao wamekaa mtandaoni Kujadili video hiyo ya mtoto.
Inasikitisha sana kama Taifa.
Nipo na Wazee wa Sumbawanga hapa chanji, wanasema kijana jitahidi sana kutafuta mwanamke mwenye akili ndo uoe, mambo ya kuangalia morphology achana nayo, ukisha Oa hayo mambo Mengine yatafanyika tu automatically coz huyo siyo Dada yako. Ukioa mzuri bila akili napo unaoea mtaa๐๐