@NMachunda50663@real_mogela@HildaNewton21 Kwani wanaorubuniwa huwa ni mazombie, kwani ni mara ngapi mmetuaminisha kuwa Mafweli amekufa, Mara ngapi mmetuakinishi Samia amekimbia nchi na bado watu wakaingia kwenye mtego wenu na kufuata mlichowaagiza?
Loq IQ kwenye lipi mkuu?
@NMachunda50663@HildaNewton21 Na vipi kuhusu watu wengine kwenye swala la kupata mahitaji yao?
Ni hivi, watu watafungua maduka, biashara zitafanyika, nyingi mtaendelea kutishia, mamlaka zitatoka mbele kuwapinga na maisha yataendelea na watu watazoea full stop
@NMachunda50663@real_mogela@HildaNewton21 Siasa za bongo zinakufanya uwe limbukeni
I wish kila kitu kingekuwa Wazi kiasi kwamba kina mtu angeona nin kimetokea
Mnalishwa propaganda za kijinga za kuaminishana kwamba tunatekwa na serikal, ni akili au matope?
N nani aliyemteka na kumuua yule janja wa IFM?
Vp wew, umeuawa?
@NMachunda50663@HildaNewton21 Hizo ndizo akili anazozitumia Marekani kwa kulipua maeneo ambayo kuna gaidi mmoja na kua innocent zaid ya kumi kwaajili ya kinachoitwa ukombozi
So tell me, ni manufaa gani tumeyapata baada ya October 29, D9 na leo hii?
@JohnChui255@NMachunda50663@HildaNewton21 Sasa inafeli vipi na imehakikisha kuwa taifa linakuwa na amani na kuruhusu watu wafanye shughuli zao kama kawaida jaookuwa kulikua na tashio la vurugu kutokana na maandamano yaliyopangwa
Mpaka sasa, wanaharakati wanazidi kuisafishia njia serikali kutokana na vitisho vyao
@NMachunda50663@HildaNewton21 Kwamaana io, madhara ya hasara itakayoingiza leo serikali kutokana na kukosekana kwa mapato ya siku, kutaendana na madhara atakayoyapata Winga, Kondakta wa Daladala na walalahoi wengine wanaotegemea kipato cha siku kwa kutoka?
@NMachunda50663@HildaNewton21 Hapana sitii aibu, naendelea kujifunza
Kwaio kwa siku ya leo, kati ya Serikali na Winga, Boda, Bajaji, Mamantilie na wengine wote amba hili wale, ni lazima atoke, ni nani yupo kwenye hasara kubwa Mwalimu?