@MariaSTsehai Ni mweupe usoni na kichwani, ndivyo watu wanavyomuona, sasa sjui kwanini ka onekana mweupe kwnye sehemu izo mbili,kama najua Mie ni mweupe siwezi kuja mbele ya media kuongea, yaani unajiamini kupita kiasi na hakuna chenye unajua sooo sadiiiii
Wapo walioibuka kumshambulia @HecheJohn kwa kuwaita vyama vya mfukoni wakiongozwa na KITUMBUA claim that kwenye kura za urais walipata kura 40elfu so wamepinga kudogoshwa kinamna hiyo.
Zingatia Jina la kiongozi wao anaitwa nani apo juu, Asante