@Nnauye_Nape Duh Ile kauli Yako Bro itakugalimu sana mpaka siku Yako ya mwisho omba sana usiwe wa mwisho kati ya watu wazuri waliobakia maana hii kauli itakua inanukuliwa Kila mtu mzuri anapoitwa na Mwenyezi MUNGU.
@HKigwangalla Ningekua Rais Mngetumia IST wote Kwa sababu tunaitaji maendeleo V8 Moja unamita kadhaa za rami, yaani gari ya gharama ingeku mkonga tu. Utaki achia nafasi wengine wafanye kazi.
@HKigwangalla Wewe Bro sam tym unachemkaga Sana what so special on u? Madereva wanaoendesha hizo Pickup na land cruiser mbona wameendesha miaka zaidi 30 mpaka wanastahafu hawana vyuma au Ma Engineer wanaokwenda site Kila kukicha hatujawaona wameenda India kisa nyonga?
Tunamashaka na Dr. Wako
@Nnauye_Nape Bro yaani kusimama hivyo tu na chuchanganya zege? Na hao wanaokushangaa hv wangepewa posho hao uliosimama nao wakatawanyika na hayo mabomba ingegharimu shingapi?
@MwananchiNews Hv hiyo mikoa ndio inastahili vitu vizuri tuu? Badala ya kuja huku TORONTO kuna maeneo yako wazi na ni tambalale hata wakitaka hekari 5000 wanapata,alafu kwani wanyamwezi na waha hawajui kusoma tuache upendeleo.
Njooni muweke huku chuo kikuu kipo kimoja tu.
@godbless_lema We jamaa huwa unataka kutuaminisha Mwenyekiti wako ni Malaika au Mtakatifu wakati we mwenyewe umemkimbia hizi hoja zako siungekuja kutolea ushahidi kwa mliyokuwa mnayafanya usitufanye watanzania wajinga pambaneni na hali zetu.