The African Institute for Comparative and International Law(AICIL) |The leading legal aid provider in Southern Tanzania. Headquartered in Songea,Ruvuma.
Baadhi ya viongozi kutoka Tanganyika Law Society ( TLS) chapter ya Ruvuma wakiwa na wafanyakazi wa @AICILSONGEA walipotembelea ofisi za kituo hicho ili kubadilishana uzoefu na kuanzisha ushirikiano baina ya taasisi hizo.
Kutokana na kuongezeka kwa taasisi na watu binafsi wanaokopesha fedha mtaani,na kupelekea matatizo mengi katika jamii,leo mwanasheria atatolea ufafanuzi Utaratibu na uhalali wa taasisi hizo.Karibuni
''Ugonjwa wa corona hauenezwi kwa njia ya hewa bali unaenea kwa njia ya majimaji yatokanayo na njia ya hewa kupitia upigaji wa chafya,kukohoa na kadhalika.Dr.Mhagama
katika kuendelea kupambana na ugonjwa wa COVID-19,daktari Leonard Mhagama kutoka hospitali ya Peramiho anatoa elimu juu ya kupambana na ugonjwa huo kwa wasaidizi wa kisheria wa @AICILSONGEA .
@LSFTanzania ,@wizara_afyatz ,@elimuyaafya
Maafisa kutoka Tanganyika Law Society kutoka chapter ya Mbeya na Ruvuma wametembelea kituo cha AICIL na kujadiliana na wasaidizi wa kisheria jinsi ya kuboresha ufanyaji kazi mkoani Ruvuma.
Changamoto wanazopata madereva pikipiki(bodaboda) kutoka kwa waajiri.
1.kutopatiwa mikataba
2.kutotambuliwa kwa dharura.
3.ukosefu wa umakini kwenye kusoma mikataba.
4.mikataba ya upande mmoja.
Katika kila wanafunzi 10,wanafunzi wa 5 wanapata mimba mkoa wa Lindi.
Katika wanafunzi 10 ,wawili(2) hupata Mimba mkoa wa Ruvuma.
Katika wanafunzi 10, watatu(3) hupata Mimba mkoani Mtwara
_Ndugu Chaula kutoka ofisi ya Elimu Mkoa wa Ruvuma