“Hakuna mtu yeyote yule hata Papa mwenyewe, mwenye Uwezo wa Kubadili Mafundisho ya Imani yetu ya Ukatoliki kuhusu Tabia ya Ushoga, hiyo ni DHAMBI ya MAUTI” Kadinali Gerhard Müller wa Ujerumani.
Mwishoni mwa mwaka 2004 kabla hajaingia madarakani, mwishoni Mwaka 2005 akiwa Madarakani na hata miaka iliyofatia katika utawala wake, Rais Kikwete alipata Changamoto kubwa sana ya ujambazi kwenye mabenki.
UPDATE
From Gentamicin Jamiiforums
Afande ( Luteni Kanali ) aliyeuawa jana Kawe Jirani na Baa maarufu ya Bombardier anaitwa Muna.
Marehemu ni Mkazi wa Mkoa wa Singida.
Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alikuwa kapandishwa Cheo na alikuwa anaenda kuwa Mkuu wa Kikosi Mkoani Arusha na leo Ijumaa ndiyo alikuwa anatakiwa Kuripoti tayari kukabidhiwa Majukumu.
Marehemu Afande Luteni Kanali Muna aliuliwa kwa Kuchomwa na Kisu cha Kukunja na Kijana aitwae Kato huku Mkewe na Mwanae wa Kiume wakiwa ndani ya Gari.
Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alikuwa ameenda Kubadili Tairi za Gari lake kwa Mfanyabiashara aitwae Chinga ambaye huwa Wanakunywa wote katika Baa yake ya Maifea Kawe ambayo ndiyo huwa anapenda Kunywa na hata wakati anachomwa Kisu hicho alikuwa amekunya kidogo ila anajitambua.
Afande Luteni Kanali Muna ndiyo alikuwa wa Kwanza kumkabili ( Kuzozana ) na Kijana ( Mchoma Kisu aitwae ) Kato baada ya Kuombwa asogeze Gari lake ili apite ndiyo Marehemu Afande Luteni Kanali Muna kwa Jeuri na Ubabe akamjibu Dogo ( Kato ) vibaya na kwenda Kumzaba Makofi mawili matatu.
Kijana aliyemchoma Kisu kilichopelekea Umauti Afande Luteni Kanali Muna aitwae Kato alikuwa anataka kuwahi Kawe mwisho Maringo ambako aliambiwa kuwa Mwizi wa Bajajj yake kaonekana na kwamba hata hicho Kisu alichokuwa nacho ( alichommaliza nacho Marehemu Afande Luteni Kanali Muna ) kilikuwa ni cha kwenda Kukabiliana na huyo Mwizi wake ila Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alijiingiza tu mwenyewe katika 18 zake.
Mwili wa Marehemu Afande Luteni Kanali Muna umeagwa leo ( Mchana ) huu Hospitali ya Jeshi Lugalo na sasa uko safarini Kusafirishwa kwenda Kwao kwa Watani zangu Wanyiramba na Wanyaturu Mkoani Singida kwa Maziko rasmi Kesho.
Mchoma Kisu ( Muuaji Kato ) amekamatwa Jana akiwa njiani Kutoroka na Wanajeshi walitaka wapewe Wao, ila Jeshi la Polisi likawakatalia na Kumshikilia wao wakisema hiyo ni Kesi ya Kiraia na siyo ya Kijeshi kama ambavyo Wanajeshi walikuwa wanataka Kuilazimisha iwe hivyo.
Jana Wakazi wa Kawe ( hasa wa eneo husika ) walipokea Kipigo Kikali sana kutoka kwa Wanajeshi ( hasa MP ) kutokea Kambini Lugalo ambapo GENTAMYCINE nimekutana na baadhi ya akina Mama na Wahudumu wa Baa ya Bombardier Kawe wakiwa Wanachechemea, wanatia Huruma huku wakiwa wanatokea Hospitali za Ndahani, kwa Mambo na Shamba ( ya Serikali ) kupatiwa Matibabu kwani Jana walikuwa hawachaguliwi wa Kupigwa kwa Hasira na hakika Kipondo kilitembezwa na Wanajeshi ( MP )
Ahadi waliyoitoa Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ni kwamba Leo kuanzia Saa 10 Jioni wanarejea tena kwa Oparesheni yao Kabambe na kwamba leo watapita / wataingia nyunba kwa nyumba hata kama Unaukweka ( Unakunya ) utachomolewa Chooni uje upokee Kipigo utaje Wahuni unaowajua na ukimaliza huku ukiwa na Maumivu ya Kipigo chao unarejea Chooni kuendelea na Zoezi lako la Kunya ( Kuukweka )
Sifa zilizozoeleka za Marehemu Afande Luteni Kanali Muna ni ya Ubabe wake wa Kiuanajeshi aliokuwa nao hasa kwa Raia, Kugambeka ( Kulewa ) mno Baa yake Kubwa ya Maifea Kawe ila akiwa anataka Totooz ( Udhaifu mkubwa aliokuwa nao ) alikuwa akipenda kuweka Kambi katika Baa ya Wauza Malaya ( Wachafu na Wasafi ) ya Igole iliyo Mita chache tu na Kituo cha Polisi Kawe ambacho baadhi yao hao Mihemko ya Kibaiolojia ikiwazidia huvuka tu barabara na kwenda Kuponea kwa hao hao Makahaba.
Inasemekana kilichowakera Wanajeshi wa Kawe ( hasa MP ) baada ya Boss wao Marehemu Afande Luteni Kanali Muna Kuuawa hivyo na Kijana Kato ni kwa Polisi kuwanyima / kukataa kuwapa Mtuhumiwa ili waende nae Jeshini Lugalo wakamuadabishe kwa Sheria zao.
Ni haya tu nimeona niwaletee mjue
Ilikuchukua muda gani kujua kuwa madawa ya kulevya yanasafirishwa kupitia biashara ya baiskeli used zinazoletwa kuuzwa nchini?
Zile bomba za baiskeli zikiwa ndio kama eneo la kupakilia unga huo
Pia ulijiuliza ni kwa nini ingawa wateja wa unga ni kutoka mataifa makubwa ya china, Marekani na Ulaya, lakini unatembea njia ndefu kutoka shambani Pakistan (kwa Musharaf) au Brazil (kwa Pele) na kuja kwanza Tanzania?
Pia kwa nini hayasafirishwi na mtu mmoja bali watu tofauti hupokezana kutoka point moja hadi nyingine.
Why Dubai?
Uzi👇
From Mombasa, Tanga to Ilala
Taarifa alizozipata rais Kabila baada ya kushikiliwa kwa wale wamarekani zilimshtua sana,
Hakuchukua muda wakati akitafakari taarifa ile ili kujua cha kumfanya, zikaja habari za kuvushwa mzigo mwingine wa tani 2.5
Akatanguliza timu yake ya mawaziri wakamuone raisi Kibaki
Makala hii inasemekana ndiyo iliyochochea madhila yaliyompata baadae.
Tarehe 28 Kampuni ya simu ya VODACOM ilimfungia mawasiliano yake.
Alipowasiliana nao juu ya hili akajibiwa wanafanya hivyo kwa maelekezo ya TCRA
Uteuzi wa Makonda na mustakabali wa wahanga wake
Baada ya uteuzi wa Paul Makonda, nilitumia saa 48 nikisoma upya maelezo ya wafanyabishara takribani 200 niliofanya nao mazungumzo kabla ya kwenda jela, nikiwa jela na baada ya kutoka jela. Wengi wa wafanyabiashara hawa waliteswa, walinyang’anywa pesa na mali na kupelekea kufilisika kwao kipindi cha Mwendazake. Takribani wafanyabishara wote wametaja kuhusika kwa Makonda moja kwa moja kwenye madhira yaliyowapata.
Mbali ya kufanya kazi kama nwandishi wa habari za uchunguzi kwa kipindi kirefu, nimepata mafunzo na uzoefu mkubwa na wa muda mrefu kuchunguza vikundi vya kigaidi, mauaji ya halaiki na vikundi vinavyoshiriki kwenye biashara haramu za kimataifa. Uchunguzi wangu mara nyingi umetumika kama ushahidi sehemu mbalimbali duniani.
Sikumbuki kuchunguza kesi katika siku za hivi karibuni ambayo mtumishi wa serikali wa kiwango cha mkuu wa mkoa ameshiriki kwenye matendo ya kuumiza watu wengi kama ilivyokuwa kwa Makonda.
Waliopendekeza na kushauri uteuzi huu kufanyika wameshindwa hawa Luzon Gari’s hata kidogo maslahi ya nchi yetu. Wameshindwa kutambua kuwa nchi yetu ilipitia kipindi kigumu ambacho Makonda alikuwa mstari wa kufanya vitendo vya kihaini kwa watumishi wa umma, nchi na watu wake. Wamewadharau wananchi na utawala wa sheria.
Kuna mambo nayajua yaliyofanyika wakati wa Mwendazake ambayo nitazikwa bila kuyasema, kuna mambo nimeamua kukaa kimya yapite lakini siyo jambo la Makonda.
Ilikuwa ni vigumu, kumuaminisha mkazi wa Sirari, mpaka wa Tanzania na Kenya, kuwa Kevin sio mtanzania wa kabila la wakulya.
Lakini alikuwa ni Mkisii kutokea Kenya ambaye alinufaika na utambulisho wa ukulya.
Mkataba wa DP World ni ishara tosha kuzungukwa na kundi la kukusifia tu ni kosa kubwa,kama tunakiri marekebisho yamefanyika kulingana na baadhi ya maoni ya wakosoaji ni dhahiri hao ndio mashujaa na wazalendo kwenye hili bila hivyo tungetumbukia shimoni. Weka mbali chawa ni adui.
DP World wameshasaini mkataba
👉Tuwaache sasa wafanye kazi na tuje kuwapima ufanisi wao kutokana na wakichosaini
👉Manufaa ya ujio wao yalishaeleweka na hakuna haya ya kila siku kurudiarudia
👉Propaganda nyakati ambazo wameshasaini mkataba ni dalili kuwa huenda kuna ukakasi na vitu vinafichwa fichwa na tusipokuwa waangalifu huenda tutarudi kwenye yale yale ya TICTS baada ya miaka kadhaa mbele
Muda na fedha hizi zingetumika kuhimiza
👉wakulima kuzalisha zaidi ili kunufaika na DP World
👉kuhimiza wazawa wapewe ajira zaidi na wafaidike
👉kuhimiza wafanyabiashara ndani na nje ya Tanzania kutumia bandari ya Dar Es Salaam zaidi ili serikali ipate kodi zaidi
Kufanya PROPAGANDA muda huu ni kutokuwa na AKILI
Ni hayo tu kwa sasa!..