@Jambotv_ Kweli Mtu naakili zake anajua kabisa uchaguzi utafanyika hakuna wa https://t.co/S7rGB6DBpj Rais pamoja na wabunge ,madiwani watapatikana.anapoteza muda wake tuu.wachaa akitoe ndani ya moyo wake maana anazidi kuteseka musimuone anatabasamu anaumia.
@PolepoleHumph Kwa kweli hatukuelewi maana Haa Rostam Dalali,Nchi Ina wahuni ,Sawa Kuna Mahakama,kunatakukuru Kuna Polisi,kwa nini usiwape Data ili wafanyie kazi.sio maneno https://t.co/D2GzEejmv1 wewe jitokeze maana wewe sio mwalifu.Ukae na Wandishi waeleze vizuri.
@MariaSTsehai Uongo wenu umefika mwisho.waone wenzenu wanaridhika na maisha na vyama vyao.Nyinyi maneno tuu haa huyu hivi na yule vile.Uongo tuu.Muwe na Ustaraabu ya kuongea .Hata Musa alipokuwa na Farao alikuwa na maneno ya staha.Nyinyi mnapotaka kukosoa mue wakweli.
@TanzaniaLeaks Huyu Lema Mbona mpotoshaji sana .Serikali imtafute aletee uthibitisho kama kweli serikali inahusika na utekaji.hii tweeter asilimia 100 ni Yako.maana anapotosha Umma .
@JNtamagala40110 Kweli kabisa .Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Mengi alisema kweli.Watu wanatafuna Nchi kama hawajui.mtu mdogo ananyanyaswa na mgambo kwa 1000.kweli hili haki na watu wanaiba mabilioni duu.
@Sativa255 Hana lolote Kama mwanaume wa kweli .Aende kwenye Kanisa lake akazungumze .Utasikia Aaa sijui aaaa nini ujinga wewe kama kweli Azungumze kwenye Kanisa lake la utapeli.
@TanzaniaLeaks Lema kama Lema Unachuki na Na huyu Mama Maana alikuwa upande wa Mbowe.Amesema kweli Polepole aeleze nani alifanya mipango ya kupigwa Risasi Lissu na Yeye kwanini siku zote alikuwa kimya.Lema jinga sana.hii tweeter ni Yako.
@EduTalkTz Nchi si yenu ni watu wote na ya waumini wote .Nyinyi Mnaataka waislamu waende wapi wakati wao ndio waasisi wa uhuru .nyinyi mlikuwa wapinga uhuru.leo eti Wadai haki ya uchaguzi huru.
@Sativa255 Huyu mnamjua alikuwa Mpiga picha tuu .Alikuwa anaangaika na maisha mara haa ana Kanisa mara mtume duu,mara sijui nini Jamaani mnaenda wapi na mambo ya kufanya mzaa na Dini.Dini ni kunyenyekia kwa mola wako sio kufukuzana na serikali.Jitambueni Jamaani.
@Sativa255 Kama kweli anauchungu na CCM Mbona anaongea anajificha aombe kibali,Azungumze hadharani au kwenye Ofisi za CCM .Anazungumza kwani yeye nani anawapangia maisha watu .anafikiria labda yeye ndio Kila kitu aache ujinga .Ivi yeye na kikwete nani anajua siasa.
@Sativa255 Hivi Hawa wanaokosoa wanafikiri wao ndio Kila kitu.Ina maana wao ndio wanahaki miliki ya kukosoa tuu.itafika wakati wataona wao ndio Binadamu kamili.Ina maana watu wamewaweka kwa Amani na utulizo.mnaanza chokochoko za kijinga kabisa
@davitheempire Haasidi hali akishiba ndio nyinyi.mnataka neema ya mtu imponyoke .Neema anatoa Mungu .nyinyi mtazidi kuu
mia maana mna maisha yenu Lakini mnaona mwenzenu ananufaika Kila mtu amejaaliwa kwa kadiri yake.alivyopangiwa .Hasidi ni mbaya kuliko mchawi
@HecheJohn Hakuna kitu Ni mdini tuu .kama kweli yeye anaipenda Nchi yake aendee Hospitali akawaombee wagonjwa.wakipona wa wagonjwa wote tutampa nchi .Ni tapeli asilimia 100 hamna kitu hana uchungu na Nchi.M
@godbless_lema Sikia Lema Kama kweli Kila kiongozi wa dini atakuwa anaongelea matakwa yake ya kisiasa Ndani ya majumba ya Ibada .Na Kuna dini tafauti Ndani ya nchi.kutakua na Amani https://t.co/MdtvnMKfqV huyu atasema hili na mwengine atasema hili.Nchi Haina dini Acheni
@HecheJohn Sikia Heche usiombe kitu kama unavoviona sio vizuri.Hawa tatizo serikali ya Kenya siku za nyuma waliiga mambo ya Ulaya sasa yanawatokea https://t.co/V3HPBgxt1p spring wanajuta walidanganywa kama demokras itawatoa kwenye shida matokeo yake wanajuta.