Tujitahidi kuheshimu kazi za watu yaan tu unapanda daradara kutoka bugurun hadi kimanga unataka ulipe 200 ili hali nauli ni 600 harafu mbaya zaidi mtu anaulizwa vp hii haitoshi anajibu jeuri
@koku_shekya Ipo sana jomba sema inatokea pale unapokengeuka kwenye njia ambazo bimkubwa anazitaka mfano anakufanyia yote hayo kumbe lengo lake uke urithi mikoba wew unajifanya umesoma hutaki anafanya tu kukukomoa
@prossoff Sema vyombo vya ulinz na usalama ndo jau wao wangebariki maandamano wakaongeza tu ulinz ili watu waandamane kwa aman ingesaidia sana kupunguza gharama ambazo hazina tija