Msanii Staa wa Bongofleva, Zuhura Othman Soud ( Zuchu) amesema muziki una pesa nyingi kama tu Msanii atafanya kipaji chake kiwe biashara.
Zuchu amesema hayo leo May 19,2026 wakati akiongea na Waandishi wa Habari wakati akiitambulisha Zuchu-Imbeju Masterclass 2026 inayoratibiwa na Benki ya CRDB.
“Ile miaka mitatu ya kwanza baada ya sukari kutoka nilikuwa nakula hela kama chizi, nafurahi kuona Vijana ambao wako nyumbani bado hawajaingia kwenye tasnia wanaenda kufundishwa namna ya kutumia fedha zao zitakazopatikana kwenye kazi zao (kupitia Master Class)”
“Kusema kweli muziki una pesa, show yangu kama Msanii nikiwa na wimbo mmoja tu nililipwa milioni 5, mara ya pili napigiwa simu na Kim naambiwa hela yako ya Youtube imeingia, iliingia Euro 3000, nakumbuka kipindi hiko nilikuwa nakaa kwa Mama Khadija Kopa, nasema hivi kukupa moyo kwamba ukifanya kipaji chako kiwe biashara pesa ipo na ipo nyingi”
#MillardAyoUPDATES
Nioge nipendeze niende kukutana na mzazi mwenzangu Buhongwa
Ewe kiumbe uliyeoa single maza mwenye mtoto anaitwa Aneth, I'm going to kukutombea
Mimi na mama Aneth hatukuachana vibaya kujikumbushia tulivyompata mtoto wetu sio vibaya
Huenda leo tukapata ka Alex tulikopanga 😂😂
#PICHA: Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United na Timu ya Taifa ya Uingereza Rio Ferdinand amewasili Tanzania kwa mwaliko maalum wa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda.
Hizi ni picha ya jinsi hali ilivyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam leo May 19,2026.
#MillardAyoUPDATES
Mtandao wa X umeanzisha mabadiliko mapya yanayowalenga watumiaji wasiokuwa na alama ya uthibitisho ya Blue Badge, katika jitihada za kuimarisha usalama na kudhibiti matumizi mabaya ya akaunti.
Kupitia mabadiliko hayo, idadi ya machapisho ambayo mtumiaji anaweza kuchapisha kwa siku yamepunguzwa hadi 50 pekee, kutoka 2,400.
Aidha, idadi ya maoni (comments) ambayo mtumiaji anaweza kutoa kwa siku imewekwa kuwa 200, ikilinganishwa na 2,400 za awali.
Uongozi wa X umeeleza kuwa hatua hizo zimechukuliwa ili kupambana na akaunti zinazojihusisha na vitendo visivyo halali pamoja na kupunguza usambazaji wa maudhui yanayoweza kuvuruga matumizi ya jukwaa hilo.
Pia, kampuni hiyo inalenga kuongeza idadi ya watumiaji wenye Blue Badge kwani wanaolipia huduma hiyo hutakiwa kutoa taarifa zao binafsi pamoja na nyaraka za utambulisho, jambo linalorahisisha kuthibitisha uhalisia wa watumiaji.
#KitengeUpdates