🍀Bidhaa zote za umeme kwa majumbani na ofisini utazipata kwetu
🍀Bidhaa imara na bora zaidi kwa matumizi yako
🍀Muda wa Warranty ni mwaka 1 mpka 5
📍Tupo Tandamti/Muheza Kariakoo
🚚 Tunafanya delivery Dar es salaam nzima Tunatuma mikoani pia
📞 0675999227/ 0767 980 199
Huyo ni SULEIMAN MOMBO kazini. I think nilishawaeleza Watanzania kuwa Samia ametoa order kwa Usalama wa taifa kumuua Heche iwapo hatofanikiwa kumuondoa kwenye nafasi ya uongozi Chadema kwa kumchafua.
Kama ulichukulia simple lile onyo naomba kila mtu achukulie serious. Samia yuko tayari kuua yoyote yule ambae anazuia maridhiano ya kihuni anayoyafosi na Chadema. Na ndo maana bado kashupaza shingo juu ya kumtoa Lissu ingawa dunia nzima inapiga kelele amwachie. Anajua Lissu ndo kabisa hatokubali huo upumbavu.
Naposema maridhiano ya kihuni naomba muelewe kuwa Samia hataki any international mediator, yani baada ya mauaji aliyoyafanya anataka akae na Chadema kienyeji ili Chadema wamuhalishe kama rais halali wa Tanzania and that WILL NEVER HAPPEN!!!!!!!
@SuluhuSamia MARIDHIANO YA KIHUNI NA WAUWAJI WA OCTOBER 29 WATANZANIA TUMEYAKATAA. UTAUWA NA KUBAMBIKIA WANANCHI KESI ZA UGAIDI ILA MARIDHIANO YA KISHENZI UNAYOYAFOSI HAYATOFANYIKA NG’OOO!!!!!!!
Xabi Alonso 🗣️ “Yes, the squad will be ready for the start of the season.
“The players who arrived later because they reached the final stages of the World Cup will also be ready. We have a few of them, and they have to be prepared.
“We need to compete with good energy. We need to run, work hard and show the sacrifice that is compulsory in every Premier League game.
“Winning every game in the Premier League is very difficult, so we need to be prepared for that.
“We are using this pre-season period to improve our intensity and prepare properly"
VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, ameihoji Serikali ya Tanzania akitaka itaje wazi ni nani anayekwamisha mchakato wa Katiba Mpya, kutokana na kauli ya Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, iliyowataka Watanzania ‘kupambana’ ili kuipata.
Akizungumza Julai 28, 2026, alipowatembelea na kuzungumza na wafanyabiashara katika Soko la Samaki la Kimataifa la Kirumba Mwaloni mkoani Mwanza, Heche amehoji mantiki ya kauli hiyo iwapo viongozi wakuu wa nchi tayari wanaunga mkono mchakato huo.
"Kutaka Katiba Mpya siyo kosa. Mmemsikia hata Nchimbi alisema tukomae Katiba ije, lakini anatumia lugha ya kutuchanganya; anasema Rais anataka Katiba na yeye pia anataka Katiba. Sasa inakwamia wapi ambapo anataka sisi tukomae?" amesema Heche.
Kauli hiyo ya Heche inakuja kutokana na hotuba iliyotolewa na Dkt. Nchimbi mnamo Julai 24, 2026, wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 15 wa Mwaka wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC).
Katika mkutano huo, Dkt. Nchimbi alisikika akisema: "Nikiambiwa kuna jambo kama Makamu wa Rais niwaambie Watanzania, nitasema pambaneni mpate Katiba Mpya- Katiba ambayo ina makubaliano ya wadau wote, Katiba yenye muafaka katika taifa, Katiba ambayo kila Mtanzania popote alipo atajisikia fahari kujitambulisha, na Katiba inayojali maisha."
VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche amewatolea uvivu watu wanaomtukana au kumchafua kwenye mitandao ya kijamii akisema kuwa yeye ni kama dhahabu isiyopoteza thamani yake hata ikitupwa kwenye kinyesi.
Akizungumza siku ya Jumatano kwenye Mkutano Mkuu Maalumu wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza uliofanyika katika soko la Mbao, Kata ya Igoma Jijini Mwanza, Heche amebainisha kuwa CHADEMA na yeye binafsi hawawezi kuchafuliwa thamani yao kwa maneno ya kashfa kwani wako imara na wamevuka kiwango cha kuuawa na mtu yeyote.
Badala ya kujibizana nao, Heche ameanza kuchukua hatua za kisheria kwa kufungua kesi za kuchafuliwa jina, akitolea mfano wa kijana mmoja aliyekuwa akimtukana ambaye sasa analia na kumwita "baba" baada ya kuanza mchakato wa kisheria
Leo, mzee Kiiza Besigye Kifefe, kiongozi wa chama cha upinzani nchini Uganda, amepiga makelele mahakamani hadi akapoteza fahamu.
Besigye amefanya hivi akiwa anapinga mwenendo wa kesi yake ya uhaini mahakamani ambayo imedumu kwa zaidi ya mwaka mmoja
Ifahamike, mawakili wawili wanaomtetea Besigye wameshindwa kufanya kazi hiyo baada mmoja wao, Martha Karua kuzuiwa kuingia Uganda, na wakili wake mwingine kujumuishwa kwenye kesi hiyo hiyo ya uhaini
"Tunafuatiliwa, mimi nina taarifa za ndani kabisa kwamba nataka kukamatwa. Mimi siogopi, mimi sio mtu wa kutishiwa. I was born once, I live once and I will die once. Narudia hili kila siku wajue, mimi ni mtu huru, nafanya kazi iliyoruhusiwa na Nchi hii na hakuna wa kunitisha. Kama unataka kumtisha Heche unagonga pabaya na jipange upya."
"Katika hilo leo asubuhi kuna gari imekuja nyumbani kwangu Toyota hardtop nyeupe, tumeipiga picha na tumefuatilia, zile namba sio za gari hiyo, wamekuja wanauliza kwa Heche ni wapi. Hizo namba zimesajiliwa kwa Cartepillar, haya yanayolima barabara. Sasa kama ni watu wema, waje mchana, kama wana shida ya kunikamata waniite lakini shida ya kutishana, kutekana mimi haya sifanyi na watanzania msikubali. Wakinichukua kwenye mazingira ambayo hayaeleweki msikubali. Hatuwezi kuishi kwa kunyimana amani. Ukitunyima amani tutakunyima amani"- John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema bara, akizungumza na wananchi wa Nyamagana Mkoani Mwanza leo Jumatano Julai 29, 2026.
Hii ni picha ya CCTV ya watu waliokuja kunifuatilia nyumbani kwangu.
Wameulizia nyumba yangu, na baadae wakaondoka bila hata kutaka kuingia au kueleza kwanini wanatafuta nyumba yangu.
Tumefuatilia hiyo gari na kugundua kwamba namba za usajili inazotumia sio namba halisi..
Namba hizo T318 EQJ ni namba zilizosajiliwa kwa magari ya kulima barabara sio namba za Land Cruiser hardtop hiyo.
Polisi wanapaswa kutuambia hao ni kina nani na nia yao hasa ni ipi kwangu.
Hatutakubali kuishi kwa hofu kwenye Nchi yetu.
Mambo ya aina hii yanaweza kuingiza Nchi kwenye hatari kubwa sana .
Watanzania sisi tutafanya kazi yenu bila hofu, msikubali kuona viongozi wenu wanatishiwa.
Watu wanapiga kelele wanasema watanzania tumuunge mkono Nchimbi kwenye kudai katiba mpya, kwanini wasimwambie Nchimbi atuunge mkono sisi?
Maana yeye ametukuta tuko kwenye mapambano kitambo!
Makamu Mwenyekiti @HecheJohn ameingia mtaani kuhamasisha watu wachangie Tone Tone.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Awamu ya pili ya kuhamasisha Tonetone leo tumeingia mtaa kwa mtaa kuhamasisha uchangiaji ili kukamilisha milioni 334.
Kila tulikopita wananchi wametupokea kwa furaha na kuchangia papo kwa hapo.
Tuendelee kuchangia chama kwa namba M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
🗣️ "I have a plan, I can see them linking really well."
Chelsea manager Xabi Alonso discusses how new signing Morgan Rogers will link up with Cole Palmer 🤝
[Credit:7News Australia]
WATUMISHI WA SERIKALI, SEKTA BINAFSI NA UMMA.
Nafahamu tupo mwisho wa mwezi, kipindi ambacho wengi hupokea mishahara na mapato yao. Tunaomba kwa unyenyekevu muwe sehemu ya mabadiliko ya Taifa letu.
Mchango wako wa Tone Tone kwa CHADEMA ni muhimu sana. Hakuna mchango mdogo unapolenga kujenga mustakabali bora wa nchi yetu. Tumia njia yoyote iliyo salama na rahisi kutuma mchango wako. Pamoja, tunaweza kufanya makubwa.
Mungu awabariki sana.