Wapo Wanaokucheka Kwa Sababu Kila Siku Wanakuona Uko Kwenye Hali Ile ile, Ila Kuna Siku Neema Ya Mungu Itakutoa Hapo Ulipo Na kukupeleka Kwenye Viwango Vya Juu. Wengi Watabaki Tu Wakishangaa Na kujiuliza Maswali Kwamba Umewezaje Kufika Hapo. Utawajibu Tu Hakika Mungu Ametenda.✍🏿
Kioo Hakiwezi Kurekebisha Sura Yako, Lakini Kinaweza Kukuonyesha Palipo Na Doa. Maisha Ni Kama Kioo Hayawezi Kukubadilisha Bali Yanaweza Kukuonyesha Wapi Unahitaji Kubadilika. Usivunje Kioo Kwa Sababu Hukupenda Ulichokiona,Badilika ili uipende Sura Ya kweli Ya Moyo Wako. ✍🏿✍🏿