@PresenterNoah Sasa mnaogopa crown kisa mafuta hamna ndoto za kumiliki v8?? Tafuteni hela IST sio gari ya kuvimba nayo ni kachombo ka usafiri tu. Ka gari kenyewe Ata ukikaunganisha na vyombo nyumbani dada wa kazi anakaosha bira shida.. ahahahhh.
Hawakujua utafanya mambo makubwa yote haya, Umekamilisha Miradi hata iliyoshindikana, Umetekeleza miradi kila kata ya Nchi hii, umewapa uhuru raia, vyombo vya habari na online media zote za kijamii, Unawasomesha watoto wao chekechea mpaka vyuo vikuu, barabara kila kijiji, Sekta za uzalishaji zote umeziongezea fedha, umefufua uchumi, umeifungua nchi, umejijengea heshima Duniani kote, BUT hawajataka kuona mazuri yote haya na mengine, sio kwa bahati mbaya, Tulijua kuwa kutakuwepo na njama za kukuchafua sana mwaka 2024 na 2025, Tunajua Kwenye mikakati yao bado watakuja na mengine ya uongouongo hivi hivi.
HATUTAKUBALI KUYUMBISHWA, TUTAPAMBANA NA WANAOTUMWA NA WANAOWATUMA.
@SuluhuSamia Heri ya kwako mama wa taifa, mungu akuweke mamangu unatupa ujasiri wa kuamini tena kuwa hata binti yangu anamfano unaoonekana. Mama ikikupendeza na mimi niteuliwe kulinda tausi wetu ikulu..... ππ mama dua zetu ziko kwako inshallah allah atazidi kukupa afya na siha njema mama.
@festosangatz@TuliaAckson Kaka tusaidie kuna wahuni ewura wanadeal na matajiri.. uwezi ongeza mafuta zaidi ya shilingi 400... wanaoumia ni wale wa chini sio matajiri. Kwa nn serikali isiruhusu soko hulia la uagizaji na uingizaji mafuta tukaachana na masuala ya manunuzi ya pamoja?? Wanaoumia ni sisi.
Tufike wakati tusiwaze bandari tu serikali ingilieni kati biashara za mafuta, acheni soko hulia kila mtu ajue anaagiza wapi na anauza wapi,, haina maana lita ya mafuta kupanda zaidi ya shilingi 400 ni mzigo mkubwa kwa watanzania. @MsigwaGerson@festosangatz@SuluhuSamia