KIOO KILITUFUNDISHA KUJIONA, LAKINI KIKATUSAHAULISHA KUJITAMBUA
Kuna hekima ambayo nature ilikuwa nayo kabla mwanadamu hajaanza kutengeneza vitu vya kumrahisishia maisha.
Kabla ya kioo kuwepo, mwanadamu hakuwa na uwezo wa kujitazama kila alipohitaji.
A BEAUTIFUL THREAD
Kwa kawaida kwa Mwaka huwa tuna Intake tatu (January, May na September) Kila Intake inapishana miezi mi5 (quoted ni May mwaka jana)
Kwa yeyote atakayewish kujiunga na May intake link ya Group la Booking hii hapa UTARATIBU WOTE NITAUTANGAZA HUKO!
https://t.co/V96cJXtOt6
Wale ambao wamekuwa wakitrade for years hamna matokeo na unawish kuja kusoma kwangu, link iko kwenye hiyo Quoted text utaratibu wote nitautoa huko tarehe 15. Nimeweka temporary group la taarifa kwasababu X inazingua, kuna mda inagoma kabisa.
Nitawaandikia hii mpaka tar 15 ili wale ambao labd walikuwa wanawish kuja kusoma kwetu halafu hawajaingia X wasikose taarifa.
@JoshMwilenga@simplychale@JohnieZeBest Sana kaka kila mtu anakutaa tu script anatembeaa nayo
Wanamuhukumu mshikaji bila sababu yoyote
Jamaa kaelezeaa vizuri sana A to Z