Discover scholarship opportunities around the world II Scholarship application support II Grant Proposal Writing II CV Development II Academic research guidance
@Ninja_Damour Kupitia hili andiko katika biblia
โ๏ธ๐
MHUBIRI 9:5
"kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lolote, wala hawana tuzo tena; maana hata kumbukumbu lao limesahauliwa".
@KennedyMmari@INFLUENCERjr Tukifika mlima Sinai utaliona kaka๐.
Maelekezo yakulitengeneza yalitolewa kwa Musa wkt wana wa Israeli wame-camp hapo. [Kutoka 37:25-31]
@Benji_Fernandes Tajiri ulisoma nje, one of the best uni duniani ila macroeconomics yangu ya SUA, niliyofundishwa na prof. Temu pamoja na mkewe Dr. Anna Temu kuna namna inanipa jeuri ya kukuambia kuwa this fact is partly economically incorrect.
@Kamnyeso Usabato kwa Tanzania ulianzia milima ya upareni kisha kanda ya ziwa. Kijijini kwetu miaka ya zamani siku za jmos asilimia 95 ya biashara zilikuwa zinafungwa, hakuna huduma. Wenye biashara wako kanisani. Nadhani upareni kwa waumini wasabato wanaongoza wakifuatiwa na waislamu.
@freemaker_tz kwakuwa ni mchakato, hakikisha una mishe zingine za kuendesha maisha, kn pia ilinishangaza kuona huyu mmoja ana ajira, ndio yuko kwenye early stages za beginner lkn yuko so excited na hela ya fx, yuko under presha, mbaya zaidi ana roll na upepo wa gold. Hataki pair ingine๐๐