#HABARI Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, wanaosafiri kwenda mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza masomo Jumatatu ya wiki ijayo, wamekwama kuondoka huku wakilalamikia uhaba wa usafiri katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam.
UGANDA: JENGO LA UTAWALA LA CHUO KIKUU MAKERERE LATEKETEA KWA MOTO
> Moto huo mkubwa umezuka usiku wa kuamkia leo
> Hadi sasa chanzo na kiwango cha hasara iloyosababishwa na moto huo havijajulikana
Soma > https://t.co/6DBgxjTqSs
#MakerereFire#Makerere#MakerereUniversity