For over a decade now we have been working with farmers to ensure production of healthy, clean and fair food by changing to more organic methods of farming that are safe, conserve the environment, protect natural resources and using land more effectively on-site
#WorldhealthDay
Leo ni Kumbu kumbu ya kifo cha Mwanamapinduzi nguli duniani Ernesto Guevara de la Serna, almaarufu #CheGuevara. Alizaliwa tarehe 14, Juni 1928 huko Rosario, Argentina na kufariki tarehe 9, Oktoba 1967 Bolivia kwa shambulizi la jeshi la kidhalimu la Bolivia. #ImperialismWillFall
Thanks for these two strong messages, let's get ready to understand and let's plan how it will be when we roll forward to "REAL" greener pastures #postHomoEconomicus
Katibu mkuu wa Wizara ya kilimo Gerald Kusaya ameipongeza taasisi ya SAT(@KilimoHai) ya mkoani morogoro kwa kuendeleza mafunzo mazuri na mahusiano kati ya wakulima na wafugaji wa wilaya ya mvomero hali inayosaidia kuwepo kwa amani na shughuli za uzalishaji mali kuendelea vema.
More robbed then helped: "Africa is losing nearly $89 billion a year in illicit financial flows such as tax evasion and theft, amounting to more than it receives in development aid" https://t.co/I05GFheoJv
"We need to recognise what those externalities are, better understand the negative impacts of the industrial food system and create a subsidy structure where we see the farmers as stewards of our food supply, but also of land and resources..." https://t.co/pDHS8Ro6Lq
Serikali inawapongeza shirika la Sustainable Agriculture Tanzania kupitia mradi wake wa kufundisha mahusiano mazuri kati ya wakulima na wafugaji hali iliyowezesha amani kuwepo wilaya ya Mvomelo.
Bw.Gerald Kusaya@ Katibu Mkuu Kilimo🇹🇿
" Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi.Tunafundisha kilimo na ufugaji wenye kutoa tija ili kiwe endelevu na kuunga mkono jitihada za Rais John Pombe Magufuli kuwakomboa wakulima toka umasikini na kukuza uchumi wa kaya ".
Janet Maro@ Mkurugenzi Sustainable Agriculture Tanzania
Kituo cha mafunzo ya Kilimo SAT kilianzishwa mwaka 2013 na tayari kimefanikiwa kufundisha watu 5,500,vikundi vya wakulima 300 na wakulima 7,500 wamepata mafunzo ya kilimo hai na kuongeza thamani za bidhaa za kilimo na mifugo.
-Janet Maro@Mkurugenzi SAT
"Mimi ni Mkuu wa Mkoa mstaafu kutokana na hali ya hewa ya Morogoro niliamua kuishi hapa. Namshukuru Mungu mwaka huu Julai nimetimiza miaka 80 ya kuishi, hii imetokana na kutumia chakula kinachozalishwa kwa kilimo hai"
-Mzee Stephen Mashishanga@ Makamu Mwenyekiti Bodi ya SAT
Katibu Mkuu Kilimo Gerald Kusaya (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa SAT Janeth Maro ( kulia) alipofanya ziara ya kikazi kwenye kituo cha Mafunzo ya Kilimo Hai jana mkoani Morogoro na kuwapongeza kwa kutoa mafunzo kwa wakulima na wafugaji ili kujikomboa kiuchumi.
" Tunapokuwa tunalima na kufuga tunakuwa tunazalisha malighafi ya viwanda hivyo mafunzo yanayotolewa na SAT kuhusu kilimo hai yanasaidia wakulima kuwa na mazao bora na uhakika wa soko".
Bw. Gerald Kusaya@ Katibu Mkuu Kilimo akiwa kituo cha Mafunzo ya Kilimo Hai SAT Morogoro
" Wizara ya Kilimo inaunga mkono jitihada za shirika la Sustainable Agriculture Tanzania (SAT) kufundisha wakulima na wafugaji kilimo hai kwa vitendo ambapo watu 5,500 wamepata mafunzo wilayani Mvomelo tangu 2013"
- Bw. Gerald Kusaya@ Katibu Mkuu Kilimo
If you don't know, now you know! 🏆🥳🎉
SAT has been chosen as one of 7 finalists for the One World Award. We are the only African organisation shortlisted!
Read more about the award and Bernward Geir's visit to us here; https://t.co/jBusOO3fg7