Wafalme,
Mwanamke unayetaka kumuoa, utawalipa wazazi wake na kuchukua majukumu yake maisha yako yote
Lakini sio bikra, ameshalala na wanaume zaidi ya wawili, bila kinga & ana DNA za Mwanaume mwingine ndani yake.
Usipooa bikra, manzi atakupa nini ambacho hajampa mwingine?
Katika ulimwengu wa giza unaofichwa nyuma ya kuta za gereza, simulizi mbili zimekuwa kama moto unaowaka chini ya maji hauonekani, lakini unateketeza taratibu mfumo wa hofu.
Hii ndiyo hali halisi ya The Quill na The Flame. Wamewekwa mbali na macho ya umma, lakini hadithi yao imegeuka kuwa sauti ya faragha inayosikika ndani ya ukimya wa taifa.
Kwa mujibu wa The Quill anasema sasa anashikiliwa katika eneo maalumu linaloitwa High Surveillance Isolation Unit (HSIU), ambalo ndani yake faragha ya binadamu imefutwa kwa teknolojia.
Mfumo huu unafuatilia kila kitu, kuanzia wakati anapokojoa hadi sekunde anapofumba macho. Ni kama mfumo unajaribu kuisoma roho yake.
Wanasema ni kwa usalama wake, lakini wachambuzi wa ndani wanajua hili ni Operation Mind Drain, mpango wa kumvunja mtu kiakili bila kutumia risasi wala minyororo.
Ni mateso ya kimfumo, yanayolenga kumfanya ajiulize, "Je, bado mimi ni binadamu?" Lakini walioshuhudia historia wanajua, roho ya wapiganaji wa aina hii haitishwi na kamera.
Kadiri macho ya mfumo yanavyozidi kumtazama, ndivyo roho yake inavyojifunza kuongea kwa lugha ya kimya, lugha ya wito wa haki unaopenya kila kizuizi cha teknolojia.
The Flame naye yupo kwenye eneo lililofungwa kwa siri Zone Gamma Detention Grid, mahali ambapo muda hausogei.
Hapo, kila dakika ina ladha ya maumivu, kila usiku ni mtihani wa imani. Wakati wengine wangelia, yeye anasema kwa sauti ya imani, "Hii siyo jela, ni tanuru la kutengeneza imani."
Wafuatiliaji wa ndani wanasema, amegeuka kuwa chanzo cha faraja kwa wengine waliomo ndani. Anawaambia, "Msihofu. Huu ni moshi wa ushindi kabla ya moto kuwashwa."
Maisha hubadilika unapoelewa kila dkk na saa ina thamani fulani. Kama unalipwa 600K kwa mwezi maana yake unakula 20K kwa siku. 20K kugawa kwa saa 8, unapata 2500 kwa saa. Hii ni THAMANI ya SAA yako 1.
Next time Fikiria, ukitaka kuspend 10K ujue unatumia saa 4 za maisha yako.
Endelea kusema "Mungu ataniponya"
Imani bila nidhamu ni adhabu & mawazo
-Mungu amekupa mwili
-Amekupa ufahamu na utashi
-Amekupa mitishamba, funga & usingizi.
Unavitumia?
Huhitaji maombi, unahitaji kuamka kiakili.
Habari,
Heri ya mwezi mpya,
Siku 90 pekee zimebaki kumaliza mwaka 2025.
Siku hizi 90 zijazo ndizo zitaamua kama utabaki pale ulipo au utainuka na kubadilika kuwa kile ulichoumbwa kuwa.
Chagua siku hizi 90 kuwa uwanja wako wa vita kupigana, kustahimili na kushinda katika maisha na afya yako.
Malengo ya siku 90:
-Kula Omad & 2mad
-Kuamka mapema kila siku
-Nenda gym angalau x4/ wiki
-Tunza 30% ya kipato chako
-Wekeza 20% ya kipato chako
-Kupunguza matumizi yako kwa 50%
-Kuepuka sukari, ngano, wanga, mafuta ya mbegu na maziwa kwa gharama yoyote
-Acha punyeto na kuangalia video za ngono
-Anza mradi wowote kwa ajili ya maisha yako ya baadaye
Usisubiri bahati, kaza juhudi kila siku.
Trainer wa Taifa.
Hii ndio sababu situmii
-Mboga Mboga, matunda & Nyanya
Na kama una matatizo yeyote ya kiafya na uzazi sikushauri kutumia Mboga Majani.
Mboga Majani hizi za kisasa zinapuliziwa madawa ambayo nchi zingine zilishapigwa marufuku.
Je, unajua Kuna baadhi ya nchi hazina kabisa KFC lakini Angalia Tanzania, tunakula kama kipimo cha utajiri na kufurahia maisha.
Nyanya ni kansa kabisa, ni hili halina mjadala.
Nyanya za siku hizi ni nusu kemikali kwa sababu hawataki kula hasara hivyo hawawezi kuzalisha mazingira yanayosapoti afya wa wadudu .
Wakati wenzetu wanaamka sisi tuko busy kulalamika.
Kula nyama, mayai, samaki, dagaa, mafuta ya wanyama, wanga tata.
Unatakiwa kufahamu kuhusu hili.
Ukweli mchungu ambao Wanaume tunahitaji kuukubali
1. Uko peke yako katika ulimwengu huu na hakuna mtu atakayekuokoa. Jiokoe
2. Familia unayoitengeneza ni muhimu zaidi kuliko familia unayotoka
3.hautafanikiwa peke yako.
4. Dunia haina huruma na mwanaume ambaye hana kitu
5. Usirudi kwa mwanamke ambaye amekusaliti wala usilazimishe mahusiano
Njia za Kudumu Muda Mrefu Wakati wa sex 🛌🔥
1:Pole Pole na Taratibu 🐢
Usikimbilie! Slow down and enjoy the moment. Kuchelewesha ni njia moja bora ya kudumu muda mrefu.
2:Vuta Pumzi kwa Kina 🧘♂️
Deep breaths can help calm your nerves and delay climax. Vuta pumzi kwa kina na polepole.
3:Badilisha Mbinu na Mkao 🔄
Change positions often to reduce overstimulation. Hii inaweza kusaidia kudhibiti kasi na muda wa kufika kileleni.
4:Tumia Kinga 🍆🛡️
Kondomu zinaweza kupunguza hisia kidogo, kukusaidia kudumu muda mrefu.
5:Kujipa Mapumziko 🛑
Stop-and-start technique works wonders. Kati ya tendo, punguza kasi au simama kwa sekunde kadhaa.
6:Mazoezi ya Kegel 💪
Strengthen your pelvic floor muscles with Kegel exercises. Haya mazoezi yanasaidia kudhibiti kumwaga mapema.
7:Hakikisha yuko tayari 💧
Muandae akiwa ameloa kabisa ni wakati sahihi kuanza, less friction helping you last longer.
8:Fikiria Mambo Mengine 🤔
Distract yourself by thinking about non-sexual things. Hii inaweza kusaidia kuchelewesha kilele.
9:Mawasiliano na Mpenzi 💬
Communicate with your partner. Kuwa wazi kuhusu unavyojisikia na muda unaohitaji ili upumzike.
10:Kuwa na Utulivu na Kujiamini 🧘♂️
Stress na shinikizo la kumridhisha mpenzi wako vinaweza kuharibu muda wako. Relax na ujiamini.
Kumbuka:
Mazoezi na uvumilivu ni muhimu. Furahia safari, sio tu kufika mwisho! 💕🔥
Na muhimu Kumeza vitunguu swaumu kila siku asubuhi na wakati wa kulala,
Kuondoa tatizo la kuwahi kufika kileleni.
USIDANGANYIKE TENA… NGUVU ZA KIUME ZIPO NDANI YAKO...!
Umechoka kutumia booster, Madawa ya nguvu za kiume, na Virutubisho vya kusindikwa visivyo na msaada wa kweli..?
Niwakati Wa Kurejea' SOKONI..🫵
Miongozo hii, Inamekuja na suluhisho la kudumu— Bila dawa, bila kudanganywa, bila kuharibu afya yako....
Ukweli ni huu...."Nguvu za kiume Sio ugonjwa"
Ni hali ya mwili na akili— inahitaji kueleweka, si kuishi kwa majaribio ya hatari....BOOSTER...
Ndani ya UBIDA utajifunza....
✓ Jinsi ya kutambua chanzo cha tatizo lako la nguvu za kiume..
✓ Ratiba ya maisha ya kila siku inayochochea urijali wa asili....
✓ Vyakula asilia kutoka sokoni vinavyojenga viinilishe halisi (bila supplements bandia)....
✓ Jinsi ya kuboresha saikolojia yako na kuondoa hofu ya kushindwa chumbani...
HAKUNA MIUJIZA, HAKUNA DAWA, HAKUNA UPOTEVU WA FEDHA....
Ni miongozo maalumu, yenye hatua za wazi kuelekea urijali wako wa asili — Bila sumu, bila pressure, bila aibu.
SOMA KWA MAKINI. CHUKUA MIONGOZO YAKO. ANZA LEO.
Bonyeza LINK hapo chini kufungua ukurasa wa mabadiliko yako... ↴
https://t.co/aYiYcyaBPY
Tutofautishe kufunga na kubadili ratiba ya kula
Kufunga ni Ibada ambao Mungu anakuwa karibu kujibu ombi na dua za mja wake.
Kufunga ni kujinyima
Kufunga ni kutoa sadaka sana Kwa wahitaji. Kufunga ni Siri kati ya anae funga na Muumba.
Kujitangaza na kujionyesha ati unafunga ni unafiki na dhambi.
Unakuta mtu amefunga mchana anatembea na bakora kuwa hapa wasiofunga.
Sasa huyu kafunga au unafiki?
Muda wa mfungo ndo unautumia kuhukumu wasiofunga. Mtu anafunga mchana, usiku anafungulia na kula kama panya.
Anafungulia na kutumia sigara na pombe anakwambia Toka mchana sijavuta nilimfunga.
Ukikuta anafuturu unatashangaa
Meza imejaa mavyakula ya mtu anakula kama anahamia Sudan
Meza ina uji, mtori, wali wa Nazi, pilau, nyama, samaki n.k yaani mavyakula mengi. Wakati Kuna mayatima hawajala.
Kipindi cha mfungo hupaswi kula sana
Tuheshimu Ibada ya kufunga
Kutoka jasho ni njia moja wapo ya mwili kusawazisha kiwango cha joto mwili kama ilivyo kwenye vinyweleo kuinuka wakati wa baridi.
Kutoa jasho kuna faida nyingi kama vile kuondoa sumu za mwili kupitia jasho na kufanya ngozi yako iwe na nuru.
Ufanyaji wa mazoezi ya cardio au kukimbia hutoa jasho haraka kwa sababu damu inapata joto haraka na sio moja kwa moja kuwa unaunguza mafuta.
Jasho ni maji taka sio mafuta uliyonayo, mchakato wa kugeuza mafuta kuwa glucose na end product yake iwe hayo maji yaani jasho sio suala la dakika 20.
Hivyo basi kupendelea sana mazoezi ya kuruka ruka ili utoke jasho la kutosha kuliko resistance & strength ni kujichelewesha kwenye harakati za kupunguza mafuta.
NB: Fahamu kuwa kutoa jasho ni Muhimu lakini sio kiashiria halisi kuwa unachoma mafuta.
Mafuta yanachomwa ukiwa umelala, unatembea, unanyanyua vitu vizito & ukiwa umefunga.
Kwa huduma za Gym & Mazoezi ya Nyumbani nipigie:
0628908800
Trainer wa Taifa ✍🏽.
Ommy fitness
Sema hii dunia ngumu sana. Kwamba MD anawakumbusha kabisa watu watumie dawa za meno za fluoride.
Ndio maana huwa nasema medicine ilijengwa kwenye flywheel ya kibiashara + faida na sio kukuponya.
Mwisho wa siku:
Mgonjwa anayepona ni mteja aliyepotea. 😎🫵